Kha! Iran yaomba Taliban walegeze sheria za kidini za kuwanyanyasa wanawake

Kha! Iran yaomba Taliban walegeze sheria za kidini za kuwanyanyasa wanawake

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Ni ajabu sikujua ipo siku hawa watu watakuja kuanza kubadilika na kuacha uzombi wa kidini....

China and Iran have urged mutual neighbor Afghanistan to end restrictions on women's work and education.

The call came in a joint statement Thursday issued at the close of a visit to Beijing by Iranian President Ebrahim Raisi during which the two sides affirmed close economic and political ties and their rejection of Western standards of human rights and democracy.

Since taking over Afghanistan in August 2021, the Taliban has banned women and girls from universities and schools after the sixth grade and forced out those in elected offices and other prominent positions.

"The two sides ... called on the Afghan rulers to form an inclusive government in which all ethnic groups and political groups actually participate, and cancel all discriminatory measures against women, ethnic minorities and other religions," the statement said, adding that the U.S. and its NATO allies "should be responsible for the current situation in Afghanistan."

Uzi wa kwanza Jf kuanza na neno 'Kha! '

Nimefurahi kuona babkubwa la dini yenu limeanza kutia akili, nyie ambao mlikesha huku mkitetea dhuluma zake mtaishia aibu....hehehe
 
Nimefurahi kuona babkubwa la dini yenu limeanza kutia akili, nyie ambao mlikesha huku mkitetea dhuluma zake mtaishia aibu....hehehe
Maandamo ya Irani vipi!?.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ujue Taleban sijawaelewa hao mabinti hawataki wajue hata aeiou
 
Ujue Taleban sijawaelewa hao mabinti hawataki wajue hata aeiou
Tatizo ni kama la ushoga tu ...sikuizi wanawake wanatumika na nchi za west kwenye ajenda zao potovu ni kama unavyo hona ushoga ndiyo maana mrussi kagundua ilo baada ya kuona kilicho tokea ukrain kuwa mashoga wanatumiwa na west ...ndiyo maana mrusi kapiga vita ushoga
 
Wanaolawiti watoto
Wanaofira wanawake
Wanafirana vijijini

Hawa wote Mzungu ndo kawaeleza?
 
Wanaolawiti watoto
Wanaofira wanawake
Wanafirana vijijini

Hawa wote Mzungu ndo kawaeleza?
Ujaelewa nilicho maanisha tumia akili nimesema ndani ya hiyo ajenda kuna ajenda ya siri ndiyo tatizo...wewe unadhani taribani awajui uislamu hata kidogo hadi wadhibiti wanawake kuliko alivyo fanya mtume wao
 
Ujue Taleban sijawaelewa hao mabinti hawataki wajue hata aeiou
Taliban msimamo wao ni pawekwe mazingira ya kutenganisha mabinti na vijana wa kiume kwenye taasisi za elimu,hayo mengine ni ngendembwe tu
 
Back
Top Bottom