Kodi ya uzalendo ianze na Hawa wazalendo wa kweli maana hata wangekata 1000 kwenye 10000 ya mshahara wa Mbunge tungekusanya pesa za kutosha.
Kisha majaji nao, badala ya kuwakamua dagaa.
Baada ya kuingiza nchi kwenye mamikataba mabovu ya madini ambapo ndipo tungekuwa tunapata 'mpunga' wa kutosha, sasa tumegeukiwa wananchi pangu pakavu tia mchuzi