Kha! Mara Kuna Wanyonge?

Kha! Mara Kuna Wanyonge?

Baada ya kuingiza nchi kwenye mamikataba mabovu ya madini ambapo ndipo tungekuwa tunapata 'mpunga' wa kutosha, sasa tumegeukiwa wananchi pangu pakavu tia mchuzi
 
Siku Watanzania watapovua koti la mambo ya siasa na kuangalia vitu kwa akili zao wenyewe, mambo yatabadilika overnight.

Tuendelee kunywa mtori, nyama ziko chini.
Tumenuna zaidi ya miaka mitano. Tumpe nafasi mama akiendelea kuturejeshea tabasamu.
 
Back
Top Bottom