Hatakuwa punga huyo.Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetu
Basi nimekosea heading toa mzuri weka mremboHatakuwa punga huyo.
Kwamba ukiwa mwanaume huwezi one mtu kuwa ni handsome au hapana?
Mie nimejenga hoja kuwa ukiongelea uzuri WA mwanaume ni kuwa na muonekano wa kiume sio wa kike
Kwa hiyo?Kavaa msalaba? au macho yangu hayaoni vizuri?
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bora uwe na sura kama ya mizengo pinda au steven wasira lakini uheshimike
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]dah,we ngeli bado kabisa aisee..na hutojua sababu huna msingi mzuri,tumia internet kujifunza kiingereza taratibu
Huyu naye punga tu, hizo nywele ndo vipi!!!??!
Hahaha Duh! Kama mpk huyo jamaa Punga tujiudhuru tu Dunia haifai tenaHuyu naye punga tu, hizo nywele ndo vipi!!!??!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] tangu kuzaliwa sijawai ona punga ya ivi, acha kupotosha [emoji371]Hahaha Duh! Kama mpk huyo jamaa Punga tujiudhuru tu Dunia haifai tena
Uyo jamaa apo juu ndo anasema mchz punga. Mm pia sijawah ona punga wa hv[emoji12] [emoji12] [emoji12] tangu kuzaliwa sijawai ona punga ya ivi, acha kupotosha [emoji371]
Hilo ndio jibu la nilichokiuliza?Kwa hiyo?
Anazingua [emoji847]Uyo jamaa apo juu ndo anasema mchz punga. Mm pia sijawah ona punga wa hv
Siyo kweli[emoji16] [emoji16] [emoji16] yamkini
Smart guy
Huyo hawezi hata kuvunja biskuti.Katoto kama hako hakafai hata kukapa kazi ngumu, maana hata kakishika remote unakua na wasiwasi kanaweza kakaumia.
Haaahaaaaaaa...Huyo hawezi hata kuvunja biskuti.
Kwani punga anakuwaje? Mwanaume rijali lazima ujitofautishe na mwanamke, huyo jamaa yako umemuangalia vizuri kichwani hizo nywele?Uyo jamaa apo juu ndo anasema mchz punga. Mm pia sijawah ona punga wa hv