Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Khaaa! Kumbe bongo kuna wanaume ni wazuri aisee

Kwaiyo we hushangai mwanaume kuwa hivyo. we ndo unatia mashaka. Mi katika maisha yangu yote sikutarajia kuona mwanaume mrembo namna hiyo aisee kuliko hata dada zetu
Hatakuwa punga huyo.

Kwamba ukiwa mwanaume huwezi one mtu kuwa ni handsome au hapana?

Mie nimejenga hoja kuwa ukiongelea uzuri WA mwanaume ni kuwa na muonekano wa kiume sio wa kike
 
Hatakuwa punga huyo.

Kwamba ukiwa mwanaume huwezi one mtu kuwa ni handsome au hapana?

Mie nimejenga hoja kuwa ukiongelea uzuri WA mwanaume ni kuwa na muonekano wa kiume sio wa kike
Basi nimekosea heading toa mzuri weka mrembo
 
dah,we ngeli bado kabisa aisee..na hutojua sababu huna msingi mzuri,tumia internet kujifunza kiingereza taratibu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Amejitutumua sana mwenyewe kumbe hajui anaongea broken English
 
Wanaume halisi na sura zetu...katika utulivu mkubwa sana...

.
FB_IMG_1551030795805.jpg
 
Uyo jamaa apo juu ndo anasema mchz punga. Mm pia sijawah ona punga wa hv
Kwani punga anakuwaje? Mwanaume rijali lazima ujitofautishe na mwanamke, huyo jamaa yako umemuangalia vizuri kichwani hizo nywele?
Mwanaume halisi ni Steven Wasira, Mizengo Pinda, Remmy Ongala, Mzee Kilomoni n.k
 
Back
Top Bottom