kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
Mkuuu nakuomba wakija unisaidie kupambana nao [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Ngoja wapenda taarabu na besidei waje kukuvamia
AkuuMkuuu nakuomba wakija unisaidie kupambana nao [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Mkuu taja mkoa ulipowakuta maana dar wanaweza kuangushiwa jumba bovu apaKatika pita pita yangu maeneo ya mtaani walipopanga wanafunzi wa chuo nimejionea mambo ambayo siyo kabisa
Wanaume wanasherekea birthday wameweka na taarabu chaajabu wanabinua binua midomo kama khadija kopa na vidole juu ase
Chaajabu yani mwenzao kalewa wamemwagia na maji ase usoni sijui wamepaka manini...
Khaaa murah wavaa suruali wapo wengi lakini wanaume wachache sana mwanaume inakuwaje usherekee birthday
Mkuu hawa ni wanaume wa dar.Mkuu taja mkoa ulipowakuta maana dar wanaweza kuangushiwa jumba bovu apa
kumbe nawe ni mvaa suruali tu unaogopa wanaume suruali!Mkuuu nakuomba wakija unisaidie kupambana nao [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hakuna mahali kwenye tabia na michezo kama hiyo isipokuwa dar tuMkuu taja mkoa ulipowakuta maana dar wanaweza kuangushiwa jumba bovu apa
Kabisaaa (in sipangiwi's voice)Mkuu hawa ni wanaume wa dar.
Sasa unadhani watakuwa waanume wa wapi kama sio dar ?, huku mikoani wanaume hawafanyi taarabuMkuu taja mkoa ulipowakuta maana dar wanaweza kuangushiwa jumba bovu apa
Dar ipo na shida (jaluo voice)Mkuu hawa ni wanaume wa dar.