kitokololoo
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 704
- 818
- Thread starter
- #21
Mziki wakuimba huku mnabinua midomo na vidole juu mkuu unausapoti????Taarabu ni mziki wenye asili ya pwani ndio maana Znz, Tanga, Pwani na Dar utakuta wanasikiliza Taarabu na kila kabila lina mziki wake wa asili, kama huendani na maadhi ya mziki wa mwenzako basi achana nao maana hata yeye hawezi endana na mziki wako.
Atleast wanaendeleza mziki wao wa asili.