Khaaa!!Wavaa suruali wapo wengi lakini wanaume tupo wachache nimeamini.

kitokololoo

JF-Expert Member
Joined
Nov 26, 2018
Posts
704
Reaction score
818
Katika pita pita yangu maeneo ya mtaani walipopanga wanafunzi wa chuo nimejionea mambo ambayo siyo kabisa

Wanaume wanasherekea birthday wameweka na taarabu chaajabu wanabinua binua midomo kama khadija kopa na vidole juu ase

Chaajabu yani mwenzao kalewa wamemwagia na maji ase usoni sijui wamepaka manini...

Khaaa murah wavaa suruali wapo wengi lakini wanaume wachache sana mwanaume inakuwaje usherekee birthday
 
Definition ya uanaume naona bado haijajulikana.
 
Katika pita pita yangu maeneo ya mtaani walipopanga wanafunzi wa chuo nimejionea mambo ambayo siyo kabisa

Wanaume wanasherekea birthday wameweka na taarabu chaajabu wanabinua binua midomo kama khadija kopa na vidole juu ase

Chaajabu yani mwenzao kalewa wamemwagia na maji ase usoni sijui wamepaka manini...

Khaaa murah wavaa suruali wapo wengi lakini wanaume wachache sana mwanaume inakuwaje usherekee birthday
Mkuu taja mkoa ulipowakuta maana dar wanaweza kuangushiwa jumba bovu apa
 
Ngoja waje mkuu
Jiandae na mapovu yao
 
Taarabu ni mziki wenye asili ya pwani ndio maana Znz, Tanga, Pwani na Dar utakuta wanasikiliza Taarabu na kila kabila lina mziki wake wa asili, kama huendani na maadhi ya mziki wa mwenzako basi achana nao maana hata yeye hawezi endana na mziki wako.

Atleast wanaendeleza mziki wao wa asili.
 
Back
Top Bottom