Khaaa!!Wavaa suruali wapo wengi lakini wanaume tupo wachache nimeamini.

Mziki wakuimba huku mnabinua midomo na vidole juu mkuu unausapoti????
 
Mwanaume kucheza taarabu ni umama mziki gani unaiba huku umebinua midomo na vidole juu?
 
Iv unajua kwamba unazid kuwaharibu wanaume wa dar kwa hiz cooments zako wakiziona apa
Yan kabisa wabinue midomo na tukalio twao, amin kwamba unawapa kichwa
 
Kwanini wasibinue makalio yao kama wametaka kuyabinua? yaani mtu akibinua makalio ndio anaharibikiwa? wewe ukitaka kukaa kwenye kiti hua unakaaje? na je ukitaka kusimama kutoka kwenye kiti hua unasimamaje? hahaha
 
We jamaa mimi sitaki bishana na wewe maana nyinyi wanawake wa pwani mnaongea sana

Komenti zako tu unaonekana ni timu vibinua mdomo na vikalio.
 
Hahahahhaha
 
Umeona eeh ushajua kutofautisha asili ya kabila na kabila.... basi acha kuwasema wanaume wa pwani
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Ngoja wapenda taarabu na besidei waje kukuvamia
Dah wewe jamaa ulisema wakija hawa jamaa itakuwa shida ase njoo uwachukue ndugu zako.
 
Kwanini wasibinue makalio yao kama wametaka kuyabinua? yaani mtu akibinua makalio ndio anaharibikiwa? wewe ukitaka kukaa kwenye kiti hua unakaaje? na je ukitaka kusimama kutoka kwenye kiti hua unasimamaje? hahaha
Sawa upo sahih
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…