Khaaaa!!Kwani ni lazima?


Amen to that ..
Nyumba Kubwa umemaliza kila kitu ...
 
mdada mwenzangu nyumba kubwa nakupa ma like mia. Roulette na wewe pokea za kukutosha kwa kugongelea nyundo yenye shule nzuri.

naomba niseme haya machache sana, jamani the first approach matters a lot, kama uliapproach kwa staili ya mpesa pesa basi the lady will grow up to be of that kind yaani kuwa chuma uniletee. But kama uliapproach kwa stail ya fair relationship ambayo iko governed na true love sidhani kama binti atakuomba hela mkiwa wachumba.

aisee tumetofautiana sana yaani wewe dada ukutaka maisha yako yawe independent do not rely kwa incentives kama hela kutoka kwa patna wako. Binafsi hata mama aliyeolewa huwa namshauri hivyo. Mume akupe pesa na ukipokea shukuru ila usimwombe. hiyo itakuongezea uwajibikaji wako, na uhuru wako. sijawah mimi kuomba hela kwa bf??? hapana hili gumu hadi unakwenda kulalamika kwa mtu baki?? hii ni aibu.

ladies tujikomboe kwa kuwa watu huru na wenye kujipenda kwa kuwa na misimamo mizuri katika maisha yetu tusipende dezo na yale ya kufanana na hayo manake yatatufunga tu na kamwe ukombozi kwa mwanamke hautakaa ufike kiukweli.
 
Last edited by a moderator:

Kwanini nikupe hela at the first place?B4 ulikua unatoa wapi?Si una wazazi wewe?Au si unakazi?Mwanaume anaejitambua hawezi kutumia hela hovyo namna hii!
 

Niliwahi kuishi na kijana mmoja wa kutoka tchad akawa ananiambia kule kwao jinsi ya kumjua mdada ambaye hafai wanatest zao wanazozifanya za kimazingira, mfano mojawapo unaofanana na hii story ni huu, kijana anachukua pesa za kutosha kama burungutu ivi la noti mfano za elfu kumi kumi kisha anavaa shati jeupe lenye mfuko ambao ni transpalent, kwahiyo burunguti hilo analiweka mfuko wa shati kisha anaanza story na mdada, kwahiyo mkaka atakuwa anamuangalia wapi huyo mdada macho yake yanaangalia wapi, akimuona madada macho yake yanaangalia sana kwenye mfuko wa shati basi hapo wana conclude kuwa hapo hakuna mke, kwani mind yake iko concentrated kwenye pesa na siyo maongezi.
Madada wa siku hizi ni janga kubwa sana kwani wanataka waishi maisha ya kiTv Tv hali ya kuwa hawana uwezo hali inayowafanya wajitoe miili yao kirahisi mno.
 
Kwanini nikupe hela at the first place?B4 ulikua unatoa wapi?Si una wazazi wewe?Au si unakazi?Mwanaume anaejitambua hawezi kutumia hela hovyo namna hii!

vipi kama hana kazi kwa wakati huo? What if wazazi wake hawana uwezo wa kumsuport?hivi vijana wote wa kitanzania hua wanapewa pocket money na wazazi wao?kama una uwezo and where necessary its not bad to support the one you love kwa nia njema kabisa sio kama buzi lol!!
 

Kama yuko kwao,mahitaji MUHIMU wazazi wake wanayaweza.Kama hana kazi na anajitegemea tht's onother case,but badala ya kuomba hela na kulazimisha ni bora aniombe nimtafutie shughuli ya kufanya!
 
Mr.Mark,nimependa sana ulivyosema wadada wanapenda waishi maisha ya ki-tv tv,kwani ni kweli kabisa.Siku hizi barabarani wadada utadhani makatuni.Mawigi,mikorogo,misuruali,mini sketi,vifua,migongo nje, mpaka kichefuchefu!
 
Utakuta demu anakuzungusha hakupi K alafu anakupigia simu kabana sauti yuko mme nna shida na elfu 50.
 
Kama yuko kwao,mahitaji MUHIMU wazazi wake wanayaweza.Kama hana kazi na anajitegemea tht's onother case,but badala ya kuomba hela na kulazimisha ni bora aniombe nimtafutie shughuli ya kufanya!

hapa sasa tunaanza kuelewana na ndo maana nikasema mwanamke anayejitambua hawezi kumuomba pesa mpenzi wake, ila mwanaume anayejielewa atatoa where necessary kulingana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo bila kuombwa wala kulazimishwa..
 
hapa sasa tunaanza kuelewana na ndo maana nikasema mwanamke anayejitambua hawezi kumuomba pesa mpenzi wake, ila mwanaume anayejielewa atatoa where necessary kulingana na mazingira yaliyopo kwa wakati huo bila kuombwa wala kulazimishwa..

Yes,but not always,khaaaa!!
 
Mkuu Eiyer kumbuka hivi majuzi walikiri hapa kwamba kama mwanaume hana kazi basi huyo ana kasoro............. Bofya hapa ujikumbushe

https://www.jamiiforums.com/jf-chit...-dhidi-ya-wanaume%85%85%85-9.html#post4255665

Lakini pia asili yao inadhihirishwa hapa.............bpfya hii link hapa chini ujikumbushe

https://www.jamiiforums.com/mahusia...nafuata-asili-katika-kupenda%85%85%85%85.html
 

Umenena mama kubwa
 
Mtambuzi sina tatizo na hayo ya asili,tatizo ni kwanini aniombe hela za matumizi wakati anaishi kwao?Wanawake linapokuja suala la mahusiano huwa wanakuwaje sijui.Wanaowachagua wenza kwa kipato wana matatizo yao hao,ni watupu ndani yao,wanatafuta kukamilishwa na hela!
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na mazingira mnayoishi. Hivi kama bf/gf wako amechacha huwezi ukampga tafu hadi akuombe?
 
kwahiyo nyumba kubwa binti anayemuomba hela kaka au dada ni independent ila akimuomba mwanaume ni dependant au sijaelewa?
 
Last edited by a moderator:
gfsonwin hivi mpenzi wako ni mtu baki? Mpenzi unampa nafasi ya ngapi baada ya wewe?

nimekupa like kwasababu hujaelewa mada ma dearest. huyu eiyer aliyekwenda kulalamikiwa ni mtu baki manake demu ni wa mshkaji wake na eiyer na mimi namshangaa binti kwenda kulalamika kwa mtu ambaye wakiwa wanapeana raha wala hata hashirikishwi ila wakati akikosa kupewa hela ndo anamfuata kulalamika.
 

Umenena,lakini unapolikosa dekio lako lile ambalo uliliona halina maana hulitafuta hata kwa kupunguza vumbi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…