Eeka Mangi
JF-Expert Member
- Jul 27, 2008
- 3,173
- 482
hahahaha.....hatulalamiki tunawashauri tu msiendekeze hako katabia sio kazuri unless unataka kuifanya hiyo a permanent job
Mara nyingie nyie wanaume nanyi mnashiriki sana kuendekeza huo utegemezi. Jiulize kama waliokutangulia hawakuwa wahongaji tabia hiyo kaipata na kuizoea lini?
Nwy. . . kwa vyovyote vile sio lazima, ila sasa usitongoze kwa M-pesa na simu za bei ghali ili matarajio yasiwe kugeuzana ATM.
cku hizi wana msemo wao inapendwa pochi cyo m2
Issu hapa ni kuwa kuna choice mbili ambazo watu wengi wame opt moja
1.Kuhujua ukweli na kufanya maamuzi magumu kama una weza au kuugua BP kama huna kifua cha kuukubali ukweli
2. Kutokuujua ukweli na kuishi kwa amani na matumaini (kuishi kwa assumption maana hakuna ukweli) mwisho ufe na Ukimwi au usife kama unayemwani anastahili hiyo imani.
Wengi wako tayari kuchukua option ya pili...ndio najiuliza kwa nini?
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
tabia iyo wanailea wenyewe afu wanaanza kulalamikaMara nyingie nyie wanaume nanyi mnashiriki sana kuendekeza huo utegemezi. Jiulize kama waliokutangulia hawakuwa wahongaji tabia hiyo kaipata na kuizoea lini?
Nwy. . . kwa vyovyote vile sio lazima, ila sasa usitongoze kwa M-pesa na simu za bei ghali ili matarajio yasiwe kugeuzana ATM.
Tenaaa nachukua sana na usawa huu
baby gfsonwin namwona Nyani Ngabu kagonga like sasa sijui ni kipengele kipi kimemfurahisha apo...lol
nyumba kubwa
Kwasababu wanajua kuwa hawana uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Hata wakijua hawawezi kuondoka wala hawana matumaini ya kuweza kumbadili mwenzi kwahiyo wanaona wasijiumize tu. Its easier that way.
Upo sahihi kwa mtizamo huu nyumba kubwa, lakini kikubwa hapa ni motivation ya relationship yenu. Hata hizo discourses zinasikika kama za ajabu zinatokana na ukweli kuwa watu tunatofautiana motivation tunapoamua kuingia kwenye mahusiano. Kama motivation yangu ni hela na nikakukubali wewe nikitegemea utakuwa unanitunza kwa kunipa pesa, lazima nitalalama usiponipa.
Halafu jamani tusisahau kuwa umaskini wetu (hata kama ni wa kujiendekeza) contributes to this much more than we often think
If wishes were horses, I could have dated you,.......permanentlyKuna aina nyingi ya relationship (just like kuna aina nyingi ya wanawake, aina nyingi ya wanaume na endless combinations). Hiyo based on money ipo sana, na ikiwa muhusika wa kiume anashindwa ku-suply hela za kutosha anatafutwa msaidizi wake (ikibidi wawili watatu) na maisha yanakwenda. wanaume nao wanasuscribe kwa wasichana wawili watatu na wanapeleka maisha kwa mtindo huo. and they all believe they are in a relationship.
Kwangu mimi sio sawa, na sio lazima wapenzi kupeana hela za matumizi. Ila this is based on my definintion of a relationship. they have theirs.