Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Mara nyingie nyie wanaume nanyi mnashiriki sana kuendekeza huo utegemezi. Jiulize kama waliokutangulia hawakuwa wahongaji tabia hiyo kaipata na kuizoea lini?

Nwy. . . kwa vyovyote vile sio lazima, ila sasa usitongoze kwa M-pesa na simu za bei ghali ili matarajio yasiwe kugeuzana ATM.
 
Issu hapa ni kuwa kuna choice mbili ambazo watu wengi wame opt moja

1.Kuhujua ukweli na kufanya maamuzi magumu kama una weza au kuugua BP kama huna kifua cha kuukubali ukweli

2. Kutokuujua ukweli na kuishi kwa amani na matumaini (kuishi kwa assumption maana hakuna ukweli) mwisho ufe na Ukimwi au usife kama unayemwani anastahili hiyo imani.

Wengi wako tayari kuchukua option ya pili...ndio najiuliza kwa nini?

mtafutie kishughuli cha kufanya/bussiness kama hutaki kuombwa,lol................... ughaibuni wanapigana mizinga ila sio sana,sababu serikali ina provide kama huna kazi,.............i can imagine kusurvive bongo bila kazi mmmnh,........sio kazi rahisi, kupiga mizinga muhimu siku zisonge,lol ila kama ana kazi yake inayomuingizia kipato hapo tena pagumu......
 
Issu hapa ni kuwa kuna choice mbili ambazo watu wengi wame opt moja

1.Kuhujua ukweli na kufanya maamuzi magumu kama una weza au kuugua BP kama huna kifua cha kuukubali ukweli

2. Kutokuujua ukweli na kuishi kwa amani na matumaini (kuishi kwa assumption maana hakuna ukweli) mwisho ufe na Ukimwi au usife kama unayemwani anastahili hiyo imani.

Wengi wako tayari kuchukua option ya pili...ndio najiuliza kwa nini?

nyumba kubwa
Kwasababu wanajua kuwa hawana uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Hata wakijua hawawezi kuondoka wala hawana matumaini ya kuweza kumbadili mwenzi kwahiyo wanaona wasijiumize tu. Its easier that way.
 
Last edited by a moderator:
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.

Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.

Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?

Upo sahihi kwa mtizamo huu nyumba kubwa, lakini kikubwa hapa ni motivation ya relationship yenu. Hata hizo discourses zinasikika kama za ajabu zinatokana na ukweli kuwa watu tunatofautiana motivation tunapoamua kuingia kwenye mahusiano. Kama motivation yangu ni hela na nikakukubali wewe nikitegemea utakuwa unanitunza kwa kunipa pesa, lazima nitalalama usiponipa.

Halafu jamani tusisahau kuwa umaskini wetu (hata kama ni wa kujiendekeza) contributes to this much more than we often think
 
Hawa ndiyo huwa wanajikuta wanaliwa tigo kirahisi maana wengine chenji zao hazitoki bure bure. Nilishawaambia wadada kuwa ukitaka kunifaidi, usiniombe pesa au kitu chochote zaidi ya kibanjuaji. Ukiwa hivyo, utanifaidi maana najua masaipraz na napenda nijiamulie mimi au nikuulize lakini wengine utafikiri wakusanya ushuru sokoni...! Upo ktk kasi ya Okwi yeye anakumbushia lile gauni kama la ledi gaga.. !! Ebo, wanadhani kila mtu ni mwizi wa BOT kama Mwigulu.. !!
 
Mara nyingie nyie wanaume nanyi mnashiriki sana kuendekeza huo utegemezi. Jiulize kama waliokutangulia hawakuwa wahongaji tabia hiyo kaipata na kuizoea lini?

Nwy. . . kwa vyovyote vile sio lazima, ila sasa usitongoze kwa M-pesa na simu za bei ghali ili matarajio yasiwe kugeuzana ATM.
tabia iyo wanailea wenyewe afu wanaanza kulalamika
 
hahaa...eti na wewe wale wale...alikua anataka akuchomoe na wewe nini??:spy:
 
Afu hii post ilipotea njia nilikuwa najibu kule kwenye discussion ya kuchunguza mwenza uliye na mashaka nae..Kuifuta imegoma. Ila hizi mada zina relate.

nyumba kubwa
Kwasababu wanajua kuwa hawana uwezo wa kufanya maamuzi magumu. Hata wakijua hawawezi kuondoka wala hawana matumaini ya kuweza kumbadili mwenzi kwahiyo wanaona wasijiumize tu. Its easier that way.
 
Ni umasiki wa fikra zaidi kuliko wa mali... Kwani experience zangu zinaonyesha watoto wa kishua wanaongoza kwa mizinga.

Upo sahihi kwa mtizamo huu nyumba kubwa, lakini kikubwa hapa ni motivation ya relationship yenu. Hata hizo discourses zinasikika kama za ajabu zinatokana na ukweli kuwa watu tunatofautiana motivation tunapoamua kuingia kwenye mahusiano. Kama motivation yangu ni hela na nikakukubali wewe nikitegemea utakuwa unanitunza kwa kunipa pesa, lazima nitalalama usiponipa.

Halafu jamani tusisahau kuwa umaskini wetu (hata kama ni wa kujiendekeza) contributes to this much more than we often think
 
Kuna aina nyingi ya relationship (just like kuna aina nyingi ya wanawake, aina nyingi ya wanaume na endless combinations). Hiyo based on money ipo sana, na ikiwa muhusika wa kiume anashindwa ku-suply hela za kutosha anatafutwa msaidizi wake (ikibidi wawili watatu) na maisha yanakwenda. wanaume nao wanasuscribe kwa wasichana wawili watatu na wanapeleka maisha kwa mtindo huo. and they all believe they are in a relationship.
Kwangu mimi sio sawa, na sio lazima wapenzi kupeana hela za matumizi. Ila this is based on my definintion of a relationship. they have theirs.
If wishes were horses, I could have dated you,.......permanently
 
Back
Top Bottom