utakua mchaga wewe?
Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.
Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.
Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?
Bia sijawahi kujaribu mdogo wangu naogopa kitambi. Natumia wine ya aina yoyote...sichagui brand wala rangi mradi wine.
utakua mchaga wewe?
Ni umasiki wa fikra zaidi kuliko wa mali... Kwani experience zangu zinaonyesha watoto wa kishua wanaongoza kwa mizinga.
Kongosho,moja ya matumizi ya pesa ya mwanaume ni kuhonga?Eti heshima ya mwanaume wa kiafrika ni kuhonga,labda inawezekana kuna Africa mbili!
Kipipi,suala hapa sio nani au wangapi wanahonga.Suala ni kwamba kuhonga ni halali?Kwanza tafsiri ya kuhonga ni mbaya pili una kazi au unaishi na wazazi wako,unataka nikupe hela ya nini?
Huyo anaekupa hela fasta anakununua?
Kipipi,nikiwa nimehonga itabadilisha ujinga wa mwanamke kudai kupewa hela wakati uko kwenu au una kazi,unataka ya nini?Kazi yako unayofanya ya nini?Au baba yako hakuhudumii?
Aisee..........Inavyoonekana kwenye huu mjadala walioko kwenye ndoa kama hawakubaliani na mizinga, ila ma G/F potelea mbali lazima fuko litoboke