Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Khaaaa!!Kwani ni lazima?

Girlfriend anayeomba omba ela hana sifa huyo...Hakuna mabinti ninao wa admire kama walio independent...Huwezi kufanikiwa kimaisha kama unajua kuna mjinga mjinga wa kunipa ela pindi ninapohitaji.

Sikuwahi maishani kumuomba mwanaume ela..hata nilipokuwa nina shida kimbilio langu lilikuwa ni dada na kaka zangu. You know why...Nilikuwa najua nikimwomba kaka atakuwa free kunambia kama hana...nikimuomba boyfriend ela hata kama ni kweli nina shida itamuwia vigumu kunambia hana pindi akiwa hana...na itamfanya ajione mdogo.

Hayo ndio mapenzi. Siku hizi tatizo kila mtu amekaa kimaslahi. Utasikia discourses za hajabu..ananitumia...ananichezea...lazima nimchune...yule mjinga bwana ake hamnunulii hata chupi...Lol. hivi mtu unawezaje kuwaza kuchezewa na kutumiwa na umpendaye? Kwani anakubaka?

Nyumba kubwa umenena vitu vya msingi!
 
Bia sijawahi kujaribu mdogo wangu naogopa kitambi. Natumia wine ya aina yoyote...sichagui brand wala rangi mradi wine.

Wenzio wa Kigogo mbuyuni, nao theory yao ilikuwa kama hii yako; ya gongo ni gongo tu matokeo yake nadhani unayajua, JIK ikaingilia kati. uwe unachagua madam!
 
Huwa siwezi kutofautisha 'mizinga' ya kina dada na uhujumu uchumi dhidi ya wanaume!
 
Mi hapa naona hapa kuna baadhi ya wanamme wanajichanganya.

Unataka heshima ya kiafrika ya kupokewa na kuheshimiwa kama kichwa cha familia afu kuhonga hutaki?
huu ni utani mkubwa, mwanamme kuhonga muhimu na mwanamke kuhongwa ni suna.

Nikae na wewe wa kazi gani? Hata kama twafurahi wote lakini usikimbie majukumu.

Mwanamme anasifiwa kwa kazi, na hiyo kazi moja ya matumizi ni pamoja na kuhonga.

Tatizo linakuja pale unapokuwa na wanawake wengi kama mafungu ya nyanya do maana unaona mazigo.


Mie hata siku nikiwa bilionea, bado nitapenda niliyenaye anipe hata kama sh elfu kumi hata pipi kifua, ndo vionjo vya kichwa cha familia kiafrika 'breadwinner' lol
 
Kongosho,moja ya matumizi ya pesa ya mwanaume ni kuhonga?Eti heshima ya mwanaume wa kiafrika ni kuhonga,labda inawezekana kuna Africa mbili!
 
Aisee..........Inavyoonekana kwenye huu mjadala walioko kwenye ndoa kama hawakubaliani na mizinga, ila ma G/F potelea mbali lazima fuko litoboke
 
Mwabie kama anauza aniuzie mimi lakini anikatie kabisa nikae nayo ndani.ntampa hela nzuri tu.
 
Ni umasiki wa fikra zaidi kuliko wa mali... Kwani experience zangu zinaonyesha watoto wa kishua wanaongoza kwa mizinga.

Kwa maana nyingine tunaweza kusema kundi hili (in red) motivation yao kubwa ni pesa!
 
Kongosho,moja ya matumizi ya pesa ya mwanaume ni kuhonga?Eti heshima ya mwanaume wa kiafrika ni kuhonga,labda inawezekana kuna Africa mbili!

Kwani uongo??
Ebu waulize wenzio kama hawahongi na ni wanaume wangapi ambao hawafanyi hivyo??

BTW; we hujawahi kuhonga wewe u unabishi tu hapa?
 
Kipipi,suala hapa sio nani au wangapi wanahonga.Suala ni kwamba kuhonga ni halali?Kwanza tafsiri ya kuhonga ni mbaya pili una kazi au unaishi na wazazi wako,unataka nikupe hela ya nini?
 
Kipipi,suala hapa sio nani au wangapi wanahonga.Suala ni kwamba kuhonga ni halali?Kwanza tafsiri ya kuhonga ni mbaya pili una kazi au unaishi na wazazi wako,unataka nikupe hela ya nini?

Kitu kama hicho kikifanywa na/kwa mtoto nitakwambia sio halali.....ila sio na/kwa watu wazima?

Btw; nilikuuliza kwamba we hujawahi kuhonga?? hapa ndipo msingi wa swali lako la pili unapopatikana!
 
Kipipi,nikiwa nimehonga itabadilisha ujinga wa mwanamke kudai kupewa hela wakati uko kwenu au una kazi,unataka ya nini?Kazi yako unayofanya ya nini?Au baba yako hakuhudumii?
 
Kipipi,nikiwa nimehonga itabadilisha ujinga wa mwanamke kudai kupewa hela wakati uko kwenu au una kazi,unataka ya nini?Kazi yako unayofanya ya nini?Au baba yako hakuhudumii?

Na nikikuuliza mantiki ya wewe kulikwepa swali langu....utaniambia nini?
I wonder, though its funny!!

Hapo in blue.....ningependa kukusihi usikimbilie kwenye hitimisho na kusema ni ujinga!!
Kuna vitu vingi sana vinavyochangia hiyo hali.....
 
Labda kwa sababu future is not certain hivyo hakuna huruma...ni kuchuna tu...kwanza hata uhakika kama yuko peke yake hana...kinachobaki ni kukomoana tu. Lol.

Aisee..........Inavyoonekana kwenye huu mjadala walioko kwenye ndoa kama hawakubaliani na mizinga, ila ma G/F potelea mbali lazima fuko litoboke
 
Back
Top Bottom