Kimey
JF-Expert Member
- Mar 25, 2009
- 4,117
- 833
Unataka kusema kwamba nayeye anawala hao hao ndio maana kayajua yote?
Kama si leo ni zamani na ndo maana akataja orodha ya vilivyomkirihisha enzi hizo.........:A S 13:
Bora Mwalimu umenijibia hili!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unataka kusema kwamba nayeye anawala hao hao ndio maana kayajua yote?
Kama si leo ni zamani na ndo maana akataja orodha ya vilivyomkirihisha enzi hizo.........:A S 13:
Eeeh! Hayo ni mambo ya Jacob Zuma. Usimuonyeshe binti yako, atamuoa tena kwa mahali.
Bora Mwalimu umenijibia hili!!
Yaani kama ingekua hawanuki mikojo na wanajua kuoga unategemea nini hapo Mwalimu kutoka kwake?Mie naachwa hoi na sisi Watanzania tulivyo.
Mtu ATI anakuja kutetea haki za watoto lakini kwa kutumia maneno ya udhalilishaji kwa hao watoto wenyewe.
Kuita watu wananuka mikojo ndo ustaarabu wa wapi?
Aaaaarrggrh!Nimekerwa sana alfajiri ya leo baada ya kumuona jamaa mmoja nikiwa nafanya mazoezi akikatoa kabinti kadogo sana kukasindikiza kwao,inaonekana alilala nako.Hivi wanaume sisi hivi vibinti vya darasa la saba,form one,two,three na 4,vina raha gani tofauti na karaha?Kwanza havijui kuoga,vinanuka mikojo havijui mapenzi,halafu ni kinyume na sheria,nyie mnaodeal na hivi vitoto,viacheni visomeeeee!Aaaaggghhrr!!
Yaani kama ingekua hawanuki mikojo na wanajua kuoga unategemea nini hapo Mwalimu kutoka kwake?
Vi binti vidogo navyo vina viranga sana, wao hawajui huyu nni mkubwa wakatae?
Ina maana matangazo ya FATAKI hayajafanya kazi kabisa kwenye jamii za watanzania?
Tamaa ya kuwa na simu za bei mbaya.....
Ameshajijibu Mwenyewe hapa chini kwa hiyo haina haja ya kukomaa nae....Hivi ukimsindikiza mtu ndio umelala nae? Yaani ulijuaje kuwa wana uhusiano wakati umewaona barabarani?
So kila kinachosemwa na yoyote amekifanya?Assumtion is wrong 99.99%!
hahahaha I closed my case..lolKuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!
Kuna watu ni wagumu sana kuelewa,hebu soma thread upya uelewe kisha uje tena,unaweza ukaja na point ya kueleweka!
Wana makosa wazazi wa huyo binti, vipi binti yako analala nje na wewe huna habari.
Na hicho kitoto kwao kiliaga kinaenda wapi mpaka kikaruhusiwa kutoka..?????
Kumbe kweli maadili yanaanzia home ..