Khadija Kopa: Kuna kuzaa na kunya, mtoto hata akiwa anacho kidogo anakuona

Khadija Kopa: Kuna kuzaa na kunya, mtoto hata akiwa anacho kidogo anakuona

una IQ ndogo sana!!

Hivi unafahamu IQ au unajitambua.
ulishaambiwa hakuna kitu kibaya kutumia vyombo vya habari kutamka maneno bila kuangalia yanabeba nini.

unaweza kuona ajakosea ila kakosea watu
 
Siku zote wabongo huwa wanasoma headlines tu.mkisoma yote aliyosoma mtaelewa anamaanisha nini
 
We umezaliwa lini !? Au umekuja mjini lini!?
kuzaliwa lini na kuja mjini lini kunahusiana vipi na swali langu? Wewe kama unajua habari zote za watu ni wewe sio wote tunajua
 
Huyu ndo Mwimbaji wa kibao TX MPENZI
 
Wala sijaona shida kwenye maneno yake
 
Back
Top Bottom