mtu mwenye moyo safi
Member
- Nov 12, 2020
- 30
- 20
Pole sana Mkurugenzi wa Kibaha Vijijini Mstaafu bi. Tatu Selemani Kikwete
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha Shimoni. Hadi nacheka mpaka muda huuYule wa chato atazuka kutoa pole au ataendelea kujificha kule shimoni? RIP 🪦
Kwa hiyo wewe hutakufa..watu wote wanaokufa sabab ni hiyo
MmhHahahaha Shimoni. Hadi nacheka mpaka muda huu
Covid "19"Poleni wafiwa.
Vipi, wametaja chanzo cha kifo?