Khaliat nahal (honeycomb breads)

Khaliat nahal (honeycomb breads)

Je ni lazima kuweka shira hivyohivyo hauliki maana naona kupata hiyo safuroni ni shida
Na je naweza tumia amira pekee bila baking powder?
Na hiyo chees naiyeyusha wakati nachanganya au naweza kuweka vipande kwenye maduara
 
Cheese usiyayushe weka vipande..
Baking powder sio lazina ila inasaidia sana mikate kuwa laini...
Hiyo saffron sio lazima hiliki tu yatosha...
Waweza usiweke shira pia kama hupendi...
 
thank u mama mapishii! U r such a great kuk!
nilishawahi kujaribu haya mapishi ni matamu sanaaa.
Km sio shira basi mtu anaweza kutumia maziwa ya sona yale mazito wakati wa kula akaweka kidogo...au nimekosea farkhina
 
Thankx nimependa nataka nijaribu hiyo japo am not gud kwenye bakin
 
farkhina hebu toa DVD aisee
utapata soko la uhakika..
DVD za MAPISHI ZA KISWAHILI HAKUNA
 
Last edited by a moderator:
thank u mama mapishii! U r such a great kuk!
nilishawahi kujaribu haya mapishi ni matamu sanaaa.
Km sio shira basi mtu anaweza kutumia maziwa ya sona yale mazito wakati wa kula akaweka kidogo...au nimekosea farkhina

Shukran....hujakosea hata asali unaweka..
Kama kwenye chpati za maji wadogo zangu lazima wamwagie asali juu...tamu sana..
 
Enheee ndo hio haba saouda nlokuwa nikiizungumzia farkhina!! life is Short mambo mazuri wayajua mashallah!
Oh, weeMwanaguWee " Mulize alojaribu,Usimulize tabibu " FYI, zaidi inatumika kwa kutibu magonjwa, inatumika kuhifadhi snacks/food mafuta yake ni mazuri kwa nywele, ngozi, sabuni / shampoo yake ni sparkling, nk........ Good life with Nigella Sativa (haba souda) vichembe vyeusi!!
images

images
Nigella sativa
Nigella_Sativa_Seed.jpg
 
Haba souda + asali ni dawa ya maradhi mengi sana....
 
Nilidoj humu ndani muda kidogo

Habari za hapa??

Sante sana kwa pishii
 
Oh, weeMwanaguWee " Mulize alojaribu,Usimulize tabibu " FYI, zaidi inatumika kwa kutibu magonjwa, inatumika kuhifadhi snacks/food mafuta yake ni mazuri kwa nywele, ngozi, sabuni / shampoo yake ni sparkling, nk........ Good life with Nigella Sativa (haba souda) vichembe vyeusi!!
images

images
Nigella sativa
Nigella_Sativa_Seed.jpg
haba soda ndio nini naona uvivu kugoogle..
 
Ni Mbegu nyeusi ( black seeds) kwa kisayansi ni Nigella savita..... Hutumika kwa mafao na kinga mwilini!! pia husindikwa na utoa mafuta kwa tiba na mambo kadha ya matumizi for mwanaadamu.
 
Back
Top Bottom