measkron
JF-Expert Member
- Apr 11, 2011
- 3,782
- 2,414
Nimezitamani weekend jiko lote langu
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Je ni lazima kuweka shira hivyohivyo hauliki maana naona kupata hiyo safuroni ni shida
Na je naweza tumia amira pekee bila baking powder?
Na hiyo chees naiyeyusha wakati nachanganya au naweza kuweka vipande kwenye maduara
thank u mama mapishii! U r such a great kuk!Cheese usiyayushe weka vipande..
Baking powder sio lazina ila inasaidia sana mikate kuwa laini...
Hiyo saffron sio lazima hiliki tu yatosha...
Waweza usiweke shira pia kama hupendi...
thank u mama mapishii! U r such a great kuk!Cheese usiyayushe weka vipande..
Baking powder sio lazina ila inasaidia sana mikate kuwa laini...
Hiyo saffron sio lazima hiliki tu yatosha...
Waweza usiweke shira pia kama hupendi...
Cheese usiyayushe weka vipande..
Baking powder sio lazina ila inasaidia sana mikate kuwa laini...
Hiyo saffron sio lazima hiliki tu yatosha...
Waweza usiweke shira pia kama hupendi...
Nimezitamani weekend jiko lote langu
Thankx nimependa nataka nijaribu hiyo japo am not gud kwenye bakin
thank u mama mapishii! U r such a great kuk!
nilishawahi kujaribu haya mapishi ni matamu sanaaa.
Km sio shira basi mtu anaweza kutumia maziwa ya sona yale mazito wakati wa kula akaweka kidogo...au nimekosea farkhina
Enheee ndo hio haba saouda nlokuwa nikiizungumzia farkhina!! life is Short mambo mazuri wayajua mashallah!Faffy..Mmh safri hii umenisahau Khaliat nahal (Bee queenhouse) si ungewekezea Black seeds"habaa souda"kwa juu..... MashaAllah Mkono wako mwema. ubarikiwe dadaytu
Enheee ndo hio haba saouda nlokuwa nikiizungumzia farkhina!! life is Short mambo mazuri wayajua mashallah!
Oh, weeMwanaguWee " Mulize alojaribu,Usimulize tabibu " FYI, zaidi inatumika kwa kutibu magonjwa, inatumika kuhifadhi snacks/food mafuta yake ni mazuri kwa nywele, ngozi, sabuni / shampoo yake ni sparkling, nk........ Good life with Nigella Sativa (haba souda) vichembe vyeusi!!Enheee ndo hio haba saouda nlokuwa nikiizungumzia farkhina!! life is Short mambo mazuri wayajua mashallah!
Nilidoj humu ndani muda kidogo
Habari za hapa??
Sante sana kwa pishii
haba soda ndio nini naona uvivu kugoogle..Oh, weeMwanaguWee " Mulize alojaribu,Usimulize tabibu " FYI, zaidi inatumika kwa kutibu magonjwa, inatumika kuhifadhi snacks/food mafuta yake ni mazuri kwa nywele, ngozi, sabuni / shampoo yake ni sparkling, nk........ Good life with Nigella Sativa (haba souda) vichembe vyeusi!!
![]()
Nigella sativa![]()
![]()
Habari nzuri....huonekani naona...
Ni Mbegu nyeusi ( black seeds) kwa kisayansi ni Nigella savita..... Hutumika kwa mafao na kinga mwilini!! pia husindikwa na utoa mafuta kwa tiba na mambo kadha ya matumizi for mwanaadamu.haba soda ndio nini naona uvivu kugoogle..