Khaliat nahal (honeycomb breads)

farkhina wee umeniamshia minyoo jamani..hii lazima nitengeneze kwa kweli...
 
Last edited by a moderator:
Asalam alaykum da faa, mzima wewe?

Ivi nataka kukuuliza haya mapishi umejifundishia nyumbani, school au una kitabu? Mana haya mengine mageni kweli kwangu juu ya kuwa napenda kupika lkn mfano mkate huu sijawahi hata kuuskia, kama ule wa tambi.

Endelea kutufundisha mama, ndo thawabu zenyewe hizo. Thank u sweetie
 

Vingi nimefundishwa na mama....vyengine ni kujifundisha tu nkiona chakula kimepikwa mahali nauliza kimepikwaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…