Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asalam alaykum da faa, mzima wewe?
Ivi nataka kukuuliza haya mapishi umejifundishia nyumbani, school au una kitabu? Mana haya mengine mageni kweli kwangu juu ya kuwa napenda kupika lkn mfano mkate huu sijawahi hata kuuskia, kama ule wa tambi.
Endelea kutufundisha mama, ndo thawabu zenyewe hizo. Thank u sweetie
This one I can cook..sio ngum sana
Sijambo my dear
We mzima?