Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Hicho kitu mwenyewe nilikijua kupitia kimo changu mimi.
Huwa najiona na kuitwa mrefu, ila kuna wachezaji tunawacheka wafupi ajabu nalingana nao!
Kipimo cha urefu kwa mwanaume na mwanamke kinatofautiana wanasema hivyo, men must be taller than women so kwa kimo chako wewe kwa mwanamke ni mrefu ila kwa mwanaume ni mfupi, kuna urefu ambao akiufikia mwanaume itaonekana kawaida ila akiufikia mwanamke ataonekana anatisha yaani kuanzia 6' na kuendelea huko [emoji3][emoji3]
 
Huyu tangu Enzi za chuo alikuwa anatokaga na wazungu tu....ameanza zamani Sana ni professional
 
Kumbe mshepu wa kisu

Siku zote najua ni yake hata hivyo imekaa vizuri sana mtu huwezi kujua

Sio kama kina Zari wanachonga viuno mpaka loh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…