Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Sishkiki sikamatiki.. Hivi kwa harmo ilikuwa ni Kiki au Nifah
images - 2024-01-03T002002.872.jpeg
 
Sishkiki sikamatiki.. Hivi kwa harmo ilikuwa ni Kiki au Nifah
View attachment 2860787
Kwanza, huyu ni mmoja kati ya wadada wa awali kabisa kufanya ‘sajari’ bongo hii, na anajielewa anafuata masharti anajitunza kwelikweli ila hana nyota.

Ilikiwa kick kumuumiza Kajala na Harmo akapita, bi dada akakolea akataka mambo yaendelee Harmo akapiga chini kikatili.

Alihaha huyu ila akatulia anaendelea zake kudanga.
Huyu ni mdangaji pro na hafichi!
 
Caren nimemjua kwa huu uzi,sikuwahi kumsikia hapo kabla

Wachezaji wa bongo sina ninayempenda
Mmojawapo wa nje ni Agüero...japo hachezi kwa sasa
Mi nilimjua kupitia igizo sijui Pazia lile?
Marafiki wakawa wanamsifia job ndio nikamfuatilia…

Kun Aguero 🤣🤣🙌🏾🙌🏾
Kila mtu na kipenda roho chake.
 
Aiseeee yani mko na injini yote ya Yanga hapo? Kwahiyo mkimuona mnajua anaenda kutoa huduma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Nyie hao watu isijekuwa wanafanya yale mambo ya mtu 3! [emoji30]
Hapana kila mtu kapanga apartment yake na hawa jamaa wasingekuwa wanakaa kambini mda mrefu wanayanga tungekufa kwa presha[emoji23]
 
La kawaida tu
Sio kibonge na wala sio mrefu sana kwa anavyoonekana akisimama na wachezaji wenzake
Kijeba maana yake mtu mfupi ndicho alichomaanisha, lakini kiuhalisia hawa wachezaji wanaoitwa wafupi including Messi huo ufupi ni wa kimichezo tu sababu football ni mchezo wa watu warefu, lakini nje ya mchezo kwa kimo chao wana urefu wa kawaida tu ambao Wanaume wengi tunaowaita warefu ndio wanao
 
Hapana kila mtu kapanga apartment yake na hawa jamaa wasingekuwa wanakaa kambini mda mrefu wanayanga tungekufa kwa presha[emoji23]
Wewe? Habu tuambie yanayoendelea hapo Mkuu?
Kwa Diarra anakujaga nani? Aziz Ki? Musonda si ana mke anapostigi wanapendana sana? Au nae ana balaa lake?
Vipi kadogoo Yao? 😋🍿
 
Kijeba maana yake mtu mfupi ndicho alichomaanisha, lakini kiuhalisia hawa wachezaji wanaoitwa wafupi including Messi huo ufupi ni wa kimichezo sababu football ni mchezo wa watu warefu, lakini nje ya mchezo kwa kimo chao ni wana urefu wa kawaida tu ambao wanaume wengi tunaowaita warefu ndio wanao
Hicho kitu mwenyewe nilikijua kupitia kimo changu mimi.
Huwa najiona na kuitwa mrefu, ila kuna wachezaji tunawacheka wafupi ajabu nalingana nao!
 
Back
Top Bottom