Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

😁😁😁 ila huwa namuona shule ipo kichwani, very cool na hapendi drama

Na hata kama kiuno kilipitishwa kisu Or not ila kajitahidi kuweka mwili wake vizuri
 
hamna watu malaya kama wacheza mpira. kuna ndugu yangu alitoka na nusu kikosi cha yanga mwaka juzi.. ila ye huwa ana shobo na BAKARI NONDO.
Akaja akahamia azam akawapunyua mpaka
akahamia simba kipindi kile akamdandia morisson saivi katimkia uturuki.
na sio yeye tu yani wadangaji wengi tu kama una shobo na mchezaji unaulizwa tu tukupe fulani
 
Kuna majukwaa uwanjani siku hizi wadangaji wanajaa kibao, mi mpaka nimeyahama.
Hasa VIP B, ni aibu tupu!

Wamehama kwa wasanii wako kwa wachezaji sasa hivi, hatari!
 
Wachezaji uzuri hela ipo na pumzi ya moto nayo ipo so mwanamke full burudni.
Sasa mabonus waliyopata yanga msimu uliopkta kumpa mwanamke million mbili mbona kama mtu anatoa chenji tuu.
 
Anaefaidi ni huyo manzi, anawachuna tu.

Na wanaume tunavopenda ushindaniπŸ˜† kila mmoja anataka aonekane dume
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi ushindani wwa kipuuzi kama huu sio tu siupenda ila hata siuwezii.
Nachukia sana kumpa hela mwanamke eti kisa mbunye..yan sitak hata kusikia huo uchuro. Mbunye ina nini hasa cha kuwatoa maelfu (zingatia "maelfu" sijafika hata kwenye "Malaki" )
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…