BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Kama Profesa ataondoka bila mtoto Tanzania, hatutawasamehe Caren na wenzieNimecheka kidogo nidondoke nilipo! Jamani ndugu zangu Watanzania nawapenda sana ππΎππΎ
Kwahiyo Caren amebeba hatma ya Taifa? Ila yule jamaa ni noma, atuletee hako ka mwana mfalme tutalea.
Na hayuko nyuma kuzaa, yuko vizuri ππ½ππ½
πΉπAaaah Mufti jamani!
Basi kheri, tuendelee kuburudika.
Wanawake wa mjini hawanaga ishu, si wa kuwachukulia serious hata siku moja. Ni kupiga na kuacha solemba tu.View attachment 2860213
NI MTIKISIKO!
Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho βDaktariβ na Rajab Abdul Kahali βHarmonizeβ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba.
Kiungo huyo Mganda anayetajwa kama sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo sasa, na msanii asiyekaukiwa matukio, Harmonize haifahamiki kwa uhakika ni nani aliyeanza kuwa na mrembo huyo, na kama kila mmoja anafahamu uwepo wa mwenzake!
Kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano Harmonize anafahamu uwepo wa βDaktariβ Aucho kama bwana mwenza kutokana na mienendo yake ya βkumega kiselaβ ambayo huiweka wazi hadi kutungia wimbo βSide Niggahβ
NI WAFUASI WA SHEIKH KIPOOZEOβ¦
Kutokana na historia ya wanawake waliowahi kujihusisha nao kimapenzi, wote wawili Aucho na Harmonize ni wazi ni wapenzi wa neema za Allah a.k.a mizigo kama asemavyo Kipoozeo.
Khalid aliyekuwa kwenye mahusiano pekee yaliyofahamika na mwanadada kutokea kituo cha habari cha Uganda BBS Sumi, huku Harmonize akiwa na Kajalaβ¦ wote wakiwa ni wanadada βwaliojaaliwaβ neema hizo za Allah!
Ex wa Aucho, Sumi
View attachment 2860225
Mwanadada huyo Caren ambaye ni mzazi mwenza wa Baraka Prince, shughuli zake zinazofahamika ni uigizaji na kwa kiasi kidogo ameonekana katika video za muziki wa Bongo Fleva huku wimbo maarufu ukiwa ni Single Again kutoka kwa Harmonize.
AJISOGEZA KWA PACOME ZOUZOUA!
View attachment 2860223
Kwa habari za chinichini ni kwamba mwanadada huyo yuko mbioni kulisaka penzi la Mchezaji βProfesaβ Pacome pia kutokea Yanga.
Wakati jitihada hizo za Caren juu ya Pacome zingali zikiendelea, Khalid Aucho bado anamshikilia mrembo huyo.
Itakuwaje kama Pacome akinasa Ulimbo? Yatakuwa kama ya Kevin De Bruyne na Thibaut Courtois kwenye bifu lisiloisha juu ya mwanamke?
Mungu apishilie mbali!
Heri ya Mwaka Mpya wadau wangu katika ubuyuβ¦
Chanzo chetu ni kilekile nyeti,
Nifah.
Hapana, ila nashuhudia matukio ya hapa na paleKwani limewahi kukukuta jambo Mkuu?
Aliliwa akaachwa huyu hana nyota
Hahahaha π± πππππππSasa itakuwaje jamani? Mngesema kabisa ni iPhone gani sisi vimbaumbau tujue π©π₯Ή
Anakuja kustuka ameshachelewa,, hapo sasa ndo panakuwaga patamu maana ataanza kuachia kwa bei sawa na bure π π€Ana uzungu mwingi ndio kinachomponza, atachelewa sana na umri sio rafiki kwa biashara yao.
Yeah sio kila siku mambo magumu. Tunalainisha misuli ya ubongo kwa habari laini laini πHakuna habari yoyote nitakayoitaka kutoka kwake ambayo siwezi kuipata kwa chanzo changu, natania tu Mkuu.
Tunafurahi maisha yanaenda π€£βπ½
Mbona huwa anacomment sana kwenye threads zangu? Ila ndio mpaka habari imkune kwelikweli!Twende mbele turudi nyuma, yote tisa ila kumi naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba kuuliza kama kuna mwanachama ameshawai kukutana na mwandiko wa raraa reree β¦.au hajui kuandika? Yani kama likes zingekuwa ndio papuchi basi kila mwana Jf angekuwa ameionja papuchi ya raraa reree maana si kwa kugawa uku β¦wala hachagui wa kumpa yani kila mtu apeweβ¦.daaa ππππππππ
Uwezi amini nilitamani kama Harmo angetulia nae β¦Tena aliachwa kwa aibu sana.
Huwa anacomment mkuu na nahisi ni wale watu cool sana ambao hawana shida ya attention zaidi ya kushow love.. One in a million ππΎππΎTwende mbele turudi nyuma, yote tisa ila kumi naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba kuuliza kama kuna mwanachama ameshawai kukutana na mwandiko wa raraa reree β¦.au hajui kuandika? Yani kama likes zingekuwa ndio papuchi basi kila mwana Jf angekuwa ameionja papuchi ya raraa reree maana si kwa kugawa uku β¦wala hachagui wa kumpa yani kila mtu apeweβ¦.daaa
Anataka kumzidi Jackline Walper kwa kusambaza upendo!
Natania jamani
ππππππππ
Yah, ila hao ndugu zetu itabidi na mionekano iwabebe tofauti na hapo, wataishia kula kwa macho tu π πKwamba na ndugu zetu wa hali ya chini watajiokotea dodo?
Harmo baada ya kajala, nyota iliangukia kwa feza kessy ila tu feza alijichanganya kwa kutumika kama escort na Rayvanny kwenye party flani.Uwezi amini nilitamani kama Harmo angetulia nae β¦