Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Khalid Aucho, Harmonize wachanganywa penzini na Caren Simba!

Nimecheka kidogo nidondoke nilipo! Jamani ndugu zangu Watanzania nawapenda sana πŸ™ŒπŸΎπŸ™ŒπŸΎ

Kwahiyo Caren amebeba hatma ya Taifa? Ila yule jamaa ni noma, atuletee hako ka mwana mfalme tutalea.
Na hayuko nyuma kuzaa, yuko vizuri πŸ‘πŸ½πŸ‘πŸ½
Kama Profesa ataondoka bila mtoto Tanzania, hatutawasamehe Caren na wenzie
 
View attachment 2860213

NI MTIKISIKO!
Kiungo punda, kisiki wa Klabu ya Yanga Khalid Aucho β€˜Daktari’ na Rajab Abdul Kahali β€˜Harmonize’ kwa pamoja wako mapenzini na mwanadada mrembo wa kuitwa Caren Simba.

Kiungo huyo Mganda anayetajwa kama sehemu ya mafanikio ya Yanga kwa msimu wa tatu mfululizo sasa, na msanii asiyekaukiwa matukio, Harmonize haifahamiki kwa uhakika ni nani aliyeanza kuwa na mrembo huyo, na kama kila mmoja anafahamu uwepo wa mwenzake!

Kwa kiasi kikubwa, kuna uwezekano Harmonize anafahamu uwepo wa β€˜Daktari’ Aucho kama bwana mwenza kutokana na mienendo yake ya β€˜kumega kisela’ ambayo huiweka wazi hadi kutungia wimbo β€˜Side Niggah’

NI WAFUASI WA SHEIKH KIPOOZEO…
Kutokana na historia ya wanawake waliowahi kujihusisha nao kimapenzi, wote wawili Aucho na Harmonize ni wazi ni wapenzi wa neema za Allah a.k.a mizigo kama asemavyo Kipoozeo.

Khalid aliyekuwa kwenye mahusiano pekee yaliyofahamika na mwanadada kutokea kituo cha habari cha Uganda BBS Sumi, huku Harmonize akiwa na Kajala… wote wakiwa ni wanadada β€˜waliojaaliwa’ neema hizo za Allah!

Ex wa Aucho, Sumi
View attachment 2860225


Mwanadada huyo Caren ambaye ni mzazi mwenza wa Baraka Prince, shughuli zake zinazofahamika ni uigizaji na kwa kiasi kidogo ameonekana katika video za muziki wa Bongo Fleva huku wimbo maarufu ukiwa ni Single Again kutoka kwa Harmonize.

AJISOGEZA KWA PACOME ZOUZOUA!
View attachment 2860223
Kwa habari za chinichini ni kwamba mwanadada huyo yuko mbioni kulisaka penzi la Mchezaji β€˜Profesa’ Pacome pia kutokea Yanga.
Wakati jitihada hizo za Caren juu ya Pacome zingali zikiendelea, Khalid Aucho bado anamshikilia mrembo huyo.

Itakuwaje kama Pacome akinasa Ulimbo? Yatakuwa kama ya Kevin De Bruyne na Thibaut Courtois kwenye bifu lisiloisha juu ya mwanamke?
Mungu apishilie mbali!

Heri ya Mwaka Mpya wadau wangu katika ubuyu…

Chanzo chetu ni kilekile nyeti,

Nifah.
Wanawake wa mjini hawanaga ishu, si wa kuwachukulia serious hata siku moja. Ni kupiga na kuacha solemba tu.
 
Twende mbele turudi nyuma, yote tisa ila kumi naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba kuuliza kama kuna mwanachama ameshawai kukutana na mwandiko wa raraa reree ….au hajui kuandika? Yani kama likes zingekuwa ndio papuchi basi kila mwana Jf angekuwa ameionja papuchi ya raraa reree maana si kwa kugawa uku …wala hachagui wa kumpa yani kila mtu apewe….daaa
Anataka kumzidi Jackline Walper kwa kusambaza upendo!
Natania jamani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Twende mbele turudi nyuma, yote tisa ila kumi naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba kuuliza kama kuna mwanachama ameshawai kukutana na mwandiko wa raraa reree ….au hajui kuandika? Yani kama likes zingekuwa ndio papuchi basi kila mwana Jf angekuwa ameionja papuchi ya raraa reree maana si kwa kugawa uku …wala hachagui wa kumpa yani kila mtu apewe….daaa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbona huwa anacomment sana kwenye threads zangu? Ila ndio mpaka habari imkune kwelikweli!
Mi hiyo siku nilishangaa alipocomment 🀣🀣
 
Twende mbele turudi nyuma, yote tisa ila kumi naomba nitoke nje ya mada kidogo naomba kuuliza kama kuna mwanachama ameshawai kukutana na mwandiko wa raraa reree ….au hajui kuandika? Yani kama likes zingekuwa ndio papuchi basi kila mwana Jf angekuwa ameionja papuchi ya raraa reree maana si kwa kugawa uku …wala hachagui wa kumpa yani kila mtu apewe….daaa
Anataka kumzidi Jackline Walper kwa kusambaza upendo!
Natania jamani
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Huwa anacomment mkuu na nahisi ni wale watu cool sana ambao hawana shida ya attention zaidi ya kushow love.. One in a million πŸ‘πŸΎπŸ‘πŸΎ
 
Back
Top Bottom