Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes, na mimi nakumbuka hivyo nilidhani nimesahau.Waliachana Leo? Yule mzee alianza kufulia, posh akaona ajiondoshee, kikubwa kaachiwa mtoto.
Posh anaishi kwenye hela tyuuuh, waliachana mda mbona.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo ndio maana huwa anamponda sana King? So Noel ndio babe wa King? Inakuwaje sasa mbona nasikia yuko na Rais boss wa Lokole?Lokolee hana maalumu, yaan yeye kila mtu wakee,
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23], alimtakaga King, Noel alimkata juu kwa juu.
Ila Dunia jaman, woiiiiih
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yupii wa league ya,uingereza? Mbna wanitoa relini?Jamani jamani huyo ninavyompendaga [emoji24][emoji24]
Yani namkubali tuu, ana uwezo mkubwa sana kwenye ile taaluma yake!
Hivi unakumbuka wakati penzi limenoga na yule mchezaji wa kwanza ligi ya Uingereza? Nilikuwa nacheka kama chizi!
Mpopo wa watu alikutana na chuna buzi Posh, pesa zote kushney karudi huko kwao Lagos, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yes, na mimi nakumbuka hivyo nilidhani nimesahau.
Noel haachani na King, domokayaa kakatazaa wee inakuaje unadate na hasimu wangu, noel anajibu uhasimu wenu haunihusu,Kwahiyo ndio maana huwa anamponda sana King? So Noel ndio babe wa King? Inakuwaje sasa mbona nasikia yuko na Rais boss wa Lokole?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nikawaza huyu naemfahamu, au ntakua nachanganya madesa, woiiiiiiihYule Mtanzania wa kwanza, c’mon we mtu wa mpira bwana [emoji1787][emoji1787]
Posh ni chuna buzii yule dada, had kubadili dini, kuanza kuvaa kistara, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mshamba huyo nae.
Huu ubuyu niliwahi kuupata sikuamini!Noel haachani na King, domokayaa kakatazaa wee inakuaje unadate na hasimu wangu, noel anajibu uhasimu wenu haunihusu,
Noel atahangaika na prosoo wa kizungu had kuishi nae kinyumba, ila roho yake iko kwa King. Yaan noel anatamani aishi kinyumba na King ila ndo vile haiwezekan.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Noel hadate na Domokayaaa hata.
Si kama Sanchi?Posh ni chuna buzii yule dada, had kubadili dini, kuanza kuvaa kistara, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ila pesa khaaah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mbna sikuwahi jua??Yupi tenaaaa?
Mi nimemuongelea huyo maana penzi lilinoga ikawa balaa!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hatariii tupu.Si kama Sanchi?
Ila mimi nimefurahi yaliyomkuta yule mwanaume wake maana alimtesa sana mkewe, yako wapi?
Sanchi kesharudi sokoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ili iweje? au Umesahau ulivosema umesa kwamba harmo ananafasi cos ana dude kubwa ndio nimekuuliza unazani huyo caren kaliona au ndio preference yake ndio msingi wa hoja yanguSema tu na wewe unataka uone🤣🤣🤣
Ndo nashangaa nilipitwajeee hapo, LolHuwezi kujua kila kitu mwaya, ila sisi tulishashtuka location zilikuwa sawa zaidi ya mwezi mzima baada ya kuondoka Uingereza.
Na haikuwa siri kihivyo, sijui ulipitwaje!