Khalid Gàngana wa TBC na macho ya kijasusi (huenda akawa mwana Eagle House wa pale Puma)

Khalid Gàngana wa TBC na macho ya kijasusi (huenda akawa mwana Eagle House wa pale Puma)

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
13,864
Reaction score
35,079
Mtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari.

Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid Gangana. Jamaa huyu ukimcheki macho yake kwa wale wanaoujua Mambo ya ujasusi utagundua kwamba ni assert ya mwewe. Macho ya kina Tolly Mbwete (RIP) sio ya mchezomchezo.

Ndio kipindi pekee Cha tbccm ninachokiangalia .

Naishia hapa kwa Leo.
 
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom