BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
TBC namjua Elizabeth Mramba tu hao wengine wafuatilieni nyie
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu si jasusi mbobezi akiwa teenKwa msaada wa picha. View attachment 1497275
Afisa kipenyoMtangazaji kijana wa TBC ambae angalau anaipa tbc heshima ana akili na maarifa makubwa ya tasnia ya habari.
Kijana huyu anayeendesha kipindi cha kuwahoji watu nadhani kinaitwa hivyohivyo Khalid Gangana. Jamaa huyu ukimcheki macho yake kwa wale wanaoujua Mambo ya ujasusi utagundua kwamba ni assert ya mwewe. Macho ya kina Tolly Mbwete (RIP) sio ya mchezomchezo.
Ndio kipindi pekee Cha tbccm ninachokiangalia .
Naishia hapa kwa Leo.