Ukiona hamu ya damu za watu wasio na hatia imewazidia, ujue na mwisho wao ndio umefikaHii hatamimi nilifikiria sana juu yake huyu muda wowote atafika bei au kupotezwa
Watapoteza wangapi sasa🙆♂️🙆♂️
Usifiwe na kila mtu wewe nani? Mungu tu ana wapinzani kibao!
Word..Tangu wameanza kupoteza watu kelele zimewai kuisha?
They’re insane mazafakas. Hata waue mtu mmoja every one hour, fear of death is no longer in our bones. Hatunyamazi!Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Huyu maza jau jau sana huyu, roho ya mauaji imesha muingia damuniAliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸