Tate Mkuu
JF-Expert Member
- Jan 24, 2019
- 46,405
- 138,158
Wamewapoteza wakina Mdude, ndiyo kwanza maelfu wengine wamezaliwa! Mwisho wa siku watapotea wenyewe, na wananchi watashangilia.Tangu wameanza kupoteza watu kelele zimewahi kuisha?
Wamewapoteza wakina Mdude, ndiyo kwanza maelfu wengine wamezaliwa! Mwisho wa siku watapotea wenyewe, na wananchi watashangilia.Tangu wameanza kupoteza watu kelele zimewahi kuisha?
Kanuni ya haki inasema hivyo.Ukiona hamu ya damu za watu wasio na hatia imewazidia, ujue na mwisho wao ndio umefika
Uzuri na wenyewe hawataishi milele. Alikuwepo Hitler, Idd Amini Dada, na madikteta wengine wengi! Leo hii wako wapi?Kimasomaso mwanangu simwoni!!!, daaah kuna watu wamefikia god level, ya kuamua nani aishi nani apotee kwa wakati gani
Mkuu Kipanya uliyemtaja hapo ni yupi ambaye ameuliwa?
Anaitwa Dioniz Kipanya , huyu alirekodi msafara wa magari yapatayo mia na zaidi katika ziara ya Samuya huko kusini na kusema ni matumizi mabovu ya rasilimali hasa ukilianganisha mikoa hiyo ilivyosahaulika ila wanapokuja hao wanaoitwa viongozi huja na magari ya kifahari na misafara mirefu isiyo na tija.
Siku chache mbele alichukuliwa na vibaka wa policcm na hadi leo ni miaka 2 hajulikani alipo.
Ndio hapa nauliza tena tangu wamemteka Dioniz Kipanya ndio Rukwa imepata maendeleo, jibu ni kwamba mkoa huo bado upo katika hali mbaya kulinganisha na potential yake na kumteka na kumpoteza huyu kijana wala sio suluhu ya kutatua matatizo ya mkoa wa Rukwa.
View: https://x.com/i/status/1813421862812008794
Usiwachafue Wasabato,ababe dhambi yake Mwenyewe!Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Laahaullah toba! mswali mtume sheikh, usimwage radhi kwa huyo kijanaUdini umeingiza ndani yake, itakuwa mkiristo div 0 zero wewe
jikite kwenye mada we kobazi mpevu, uislam ukitajwa huwa mnalipuka kishenzi kana kwamba mna hakimiliki na dini hiyoTypical wagalatia mavi, vichwa vimejaa mavi tu mnawaza udini
Kwani ulishindwa kuleta mada bila kueleza dini ya muhusika
Ndio maana tunasema kuna udini mwingi sana kwenye hiyo mifuvu yenu ila mnajitahidi kujificha na lakini inashindikana.
Hapa hamchomoki na ulokole wenu,
wewe mwalimu unatakiwa kupimwa mkojo, unaathiri vizazi vijavyojikite kwenye mada we kobazi mpevu, uislam ukitajwa huwa mnalipuka kishenzi kana kwamba mna hakimiliki na dini hiyo
unapenda ligi ya ukobazi na ugalitia sana, angalia usimuambukize mwanao hiyo tabiawewe mwalimu unatakiwa kupimwa mkojo, unaathiri vizazi vijavyo