Ndiyo nani huyo?Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Udini umeingiza ndani yake, itakuwa mkiristo div 0 zero weweAliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Typical wagalatia mavi, vichwa vimejaa mavi tu mnawaza udiniAliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Tuna mwenge. Moshi wake unaleta giza zaidi. Kale kamwanga hafifu ka mwenge kanafifishwa zaidi na moshi wa mwenge huohuo.Ila Tanzania imefikia hatua mbaya.
Watu wameamua wakuue au wakupe kesi ya ugaidi na huna cha kuwafanya.
Sijui lini tutapata Nuru.
Tangu wameanza kupoteza watu kelele zimewahi kuisha?
Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.
Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?
Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
😄Bwashee sidisi kitu cha kusadikika , na hoji tu kama binadamu
Ulimwona akimfyatulia nan risasHuyu maza jau jau sana huyu, roho ya mauaji imesha muingia damuni
Mkuu Kipanya uliyemtaja hapo ni yupi ambaye ameuliwa?Kwahiyo Samuya na vidampa wake wanaamini wakimuua Khalifa ndio matatizo ya maji jiji la Dar es Salaam yatakwisha?
Wanaamini wakimuua Khalifa ndio watamaliza tatizo la ajira ?
Wanaamini wakimuua Khalifa na wakosoaji wengine ndio watafanya watu wasahau mauaji makubwa na wizi wa kura na ushindi feki wa October 29 mwaka jana?
Wameua akina Mdude, mzee Kibao, Soka, Kipanya,Polepole bado ukosoaji haujaisha kila siku wakosoaji wanaibuka maana wanaua wajumbe na sio kufanyia kazi ujumbe.
Ujumbe hapa ni kama ufisadi, wizi na matumizi mabaya ya ofisi, utekaji, mauaji, ukosefu wa huduma za kijamii kama maji ya uhakika na umeme, uminywaji uhuru wa kutoa maoni hata kama hayawafurahishi watawala haramu na mengineyo mengi.
Iddi Amin, Jean Bedel Bokasa, Joseph Desire Mobutu, Saddam Hussein, Hosni Mubarak , Joseph Stalin, na wengineo wengi waliua maelfu kwa maelfu ya watu ila ukosoaji ulibaki pale pale na wao walikufa na nchi ilibaki , hivyo hata wauaji wote na maboss wao watakufa na Tanganyika itabaki .
Wapambane na ujumbe na sio wajumbe/watoa ujumbe.