Khalifa Said jina lako linajadiliwa muda huu mezani kwa yule ‘Msabato Asiyejulikana’

Mkuu Kipanya uliyemtaja hapo ni yupi ambaye ameuliwa?

Anaitwa Dioniz Kipanya , huyu alirekodi msafara wa magari yapatayo mia na zaidi katika ziara ya Samuya huko kusini na kusema ni matumizi mabovu ya rasilimali hasa ukilianganisha mikoa hiyo ilivyosahaulika ila wanapokuja hao wanaoitwa viongozi huja na magari ya kifahari na misafara mirefu isiyo na tija.

Siku chache mbele alichukuliwa na vibaka wa policcm na hadi leo ni miaka 2 hajulikani alipo.

Ndio hapa nauliza tena tangu wamemteka Dioniz Kipanya ndio Rukwa imepata maendeleo, jibu ni kwamba mkoa huo bado upo katika hali mbaya kulinganisha na potential yake na kumteka na kumpoteza huyu kijana wala sio suluhu ya kutatua matatizo ya mkoa wa Rukwa.



View: https://x.com/i/status/1813421862812008794
 
Duh hatari
 
Aliye karibu na mwandishi huyu wa The Chanzo, analiwa timing ili atokomezwe.

Mama hataki kabisa kumuona tena, inakuwaje kijana wa Kiislam hamuungi mkono wala kumsifia kwenye media?

Afutike kabisa ndilo takwa la 🐸
Usiwachafue Wasabato,ababe dhambi yake Mwenyewe!
 
jikite kwenye mada we kobazi mpevu, uislam ukitajwa huwa mnalipuka kishenzi kana kwamba mna hakimiliki na dini hiyo
 
jikite kwenye mada we kobazi mpevu, uislam ukitajwa huwa mnalipuka kishenzi kana kwamba mna hakimiliki na dini hiyo
wewe mwalimu unatakiwa kupimwa mkojo, unaathiri vizazi vijavyo
 
Siku na sisi tuje tunyakue abdul ata tumfyeke kende tu lbd mama yake atajua huwa tunajisikiaje ndg zetu wanavyo chotwa tu
 
Akina min -me na mwenzie Yoda wanamdisi MUNGU MWENYEZI kila siku hata hawauwi

Ila Samia yeye anaua kila ambaye hayuko upande wake

Huyu mama ni kenge kabisa
Na nyie pia mnawadisi Budha na Krishna, Vishnu na miungu ya makabila yenu ila hamuuwawi nayo😁
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…