01 Agosti 2026
Tafakuri ya Khalifa Said Kuhusu Hali ya Kisiasa, Uhuru wa Vyombo vya Habari Utawala wa Sheria Nchini
Mwandishi tunduizi mwenye fikra huru Khalifa Said ndani ya mahojiano exclusive kuhusu hali ya kisiasa, kiuongozi na utawala bora ilivyo nchini Tanzania..
Sisi Tanzania kusema kweli ni jamhuri ya ndizi... we are typical banana republic sisi una serikali ambayo haifuati sheria hata kidogo.",
"Sheria Tanzania zipo kwa ajili ya watu kwenye makundi haya. Kundi la kwanza ni maskini... Namba mbili ni wananchi... sheria ina upande dhidi yako wewe masikini.",
"Ukiwa na pesa kwenye hii nchi unaweza kukwepa mkono wa sheria. That is for sure."
"Kuendelea kumshikilia mtu kwa kosa ambalo hajahukumiwa nalo... ni kukiuka amri za mahakama."
View: https://m.youtube.com/watch?v=yBgtpL2MjaU