banana republic

Banana Republic is an American upscale clothing and accessories retailer owned by The Gap. It was founded in 1978 by Mel and Patricia Ziegler, who originally called the company "Banana Republic Travel & Safari Clothing Company". In 1983, Gap purchased the company, changed the name to "Banana Republic," and rebranded the stores to achieve a more upscale image. In the 2020s, VP of design Nicole Wiesmann has re-envisioned the brand with ad editorial campaigns that evoke luxury brands like Loro Piana with higher-end garments that have been compared favorably with Ralph Lauren, The Row, and Burberry.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    JamiiForums Tanzania Tanzania Ilipofikia Sasa Hata 'Banana Republic' Ina Nafuu

    Mshindi wa nafasi ya U-Raisi anapata kura asili mia 98, toka kwa waTanzania milioni 31 waliojitokeza kupiga kura. Sijui hiyo asili mia mbili ilipotelea wapi. Inawezekana ni kura zilizoharibika zilizomkosesha mshindi kupata asili mia kamili? Sasa tunaambiwa, huyu aliyepigiwa kura na wabunge yeye...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Khalifa said - Tumekuwa jamhuri ya ndizi / banana republic

    01 Agosti 2026 Tafakuri ya Khalifa Said Kuhusu Hali ya Kisiasa, Uhuru wa Vyombo vya Habari Utawala wa Sheria Nchini Mwandishi tunduizi mwenye fikra huru Khalifa Said ndani ya mahojiano exclusive kuhusu hali ya kisiasa, kiuongozi na utawala bora ilivyo nchini Tanzania.. Sisi Tanzania kusema...
  3. October 2pm

    JamiiForums Tanzania Nathibitishiwa hapa kiongozi wa banana republic ni mateka wa wanamtandao

    Mwakumbuka nilikuwa chawa wake. Nilimhusudu. Aliwahi sema hataki kuendelea lakini weeeh weee! Akaambiwa kelele. Hutaki utakuwa wataka utakuwa. Ole weeye upenge hata kamasi. Bibiye aliya aliya wee. Wahuni hawajali. Atishiwa basi bibiye mwenyewe aogopa akakubali. Nye Nye Nye afu hiyo ya MO29...
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania The United Banana Republic of Tanzania!

    Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa. Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi. Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza...
  5. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Jua chanzo cha neno banana republic lilipotokea

    Ndizi mbivu kila mtu anazijua ziko za aina nyingi sana huko sokoni Miaka 400+ ukoloni ulianza kukua na wakoloni walizunguka dunian kwa nia ya kuijua dunia, wareno moja ya wakoloni walipita afrika wakaja East afrika na waliacha ngome yao Fort Jesus na hawakuishia East afrika bali walienda mbali...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania tayari tuna serikali yenye sifa za banana republic

    Sifa za banana republic ni hizi:- 1. Ufisadi unatapakaa serikalini kiasi kwamba mpk rais anashadadia kwa kusema kila mtu ale kwa urefu wa kwamba yake. 2. Serikali inakuwa ya kimabavu, haitaki kikosolewa. Inafungulia watu kesi za kubumba, inapiga maaskofu, inafugia vyama vya siasa. 3. Raia...
  7. Keyboard_Warrior

    JamiiForums Tanzania Nini maana ya Banana Republic? Je, Urusi ni Banana Republic?

    Leo nimekutana na mchango wa mwanachama wa Jamii Forums (Imeloa) akisema kuwa Russia ni Banana Republic, hili jina limenishtua kiasi, of course sielewi maana halisi ya Banana Republic. Ila kwakuwa Jamii Forums kuna manguli wa GEOPOLITICS, ninaamini leo nitatolewa ujinga kidogo. Wakongwe, nini...
Back
Top Bottom