Sifa za banana republic ni hizi:-
1. Ufisadi unatapakaa serikalini kiasi kwamba mpk rais anashadadia kwa kusema kila mtu ale kwa urefu wa kwamba yake.
2. Serikali inakuwa ya kimabavu, haitaki kikosolewa. Inafungulia watu kesi za kubumba, inapiga maaskofu, inafugia vyama vya siasa.
3. Raia wanatawaliwa na hofu (ya kutekwa au kuuawa).
4. Utegemezi wa kiuchumi. Nchi inakuwa inauza nje rasilimali chache sana mfano ndizi, pamba, n.k
5. Miundombinu duni (mvua kidogo tu, mafuriko tayari au daraja linavunjika).
Kwa haya na mengineyo, huoni kuwa tuko kwenye nchi ya hovyo kiasi hicho?