The United Banana Republic of Tanzania!

The United Banana Republic of Tanzania!

Nyani Ngabu

Platinum Member
Joined
May 15, 2006
Posts
98,439
Reaction score
145,410
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.

Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.

Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.

Ni vituko na vichekesho mtupu.

Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.

Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.

Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?

Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.

Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.

These people are so detached from reality it’s not even funny!

Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
 
"According to the UN's World Population Prospects 2024, Tanzania's population aged 18 and above was approximately 36,013,009 people in mid-2025. This number represents a 3.43% increase from mid-2024, when it was around 34,818,477 people ."

So, if this is accurate, out of 36 M potential voters, the normal apathy, No Reforms No Election boycott, voters who voted the opposition, spoilt and trashed votes seen all over the country due to the widespread chaos, Samia somehow still manages to get 31M votes?
 
Mbowe ndiyo alikuwa anataka tubaku tukiishi na huu upumbavu
Kwa kweli hii ni dharau kubwa sana kwa wananchi. Pamoja na maandamano bado wanatuona kuwa watanzania bado ni wajinga. CCM will do whatever they want na hakuna wakuwafanya chochote
 
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.

Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.

Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.

Ni vituko na vichekesho mtupu.

Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.

Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.

Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?

Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.

Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.

These people are so detached from reality it’s not even funny!

Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Hii kibri ni ya kupitiliza,
Yaani nafanya hivi na hamuwezi kunifanya kitu. Sijui CCM itaaminika kwa kitu gani.

Kuokoa nchi labda CCM ije kufutwa
 
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.

Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.

Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.

Ni vituko na vichekesho mtupu.

Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.

Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.

Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?

Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.

Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.

These people are so detached from reality it’s not even funny!

Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Kilichobaki kuanzishwa vikundi vya kigaidi kwa mapinduzi
 
JPM alipata 12 mil, huyu kapata 31 mil, tofauti ni 19 mil. Siwezi kuamini kwamba mama anapendwa 19 mil. zaidi ya JPM. hilo msije kunirisha matango pori... sikubari ngoooooo.. Pumbafu zao akina Mwangedere na Team yake yote ya INEC kwa kusaliti akili za Watanzania...
 
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.

Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.

Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.

Ni vituko na vichekesho mtupu.

Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.

Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.

Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?

Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.

Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.

These people are so detached from reality it’s not even funny!

Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Ni vituko sanaa, mtu unabaki unajiuliza hivi akili za Hawa wanasiasa wetu ziko matakoni ama kichwani?? , mtu kama mboww, zitto kabwe, sijui wale kina kigaila walikua wanataka washiriki uchaguzi wa mazingira hayaa??is this election au sherehe za ccm kukamilisha mchakato wa kumkabidhi mwenyekiti wao uraisi..TAKATAKA KABISA
 
"According to the UN's World Population Prospects 2024, Tanzania's population aged 18 and above was approximately 36,013,009 people in mid-2025. This number represents a 3.43% increase from mid-2024, when it was around 34,818,477 people ."

So, if this is accurate, out of 36 M potential voters, the normal apathy, No Reforms No Election boycott, voters who voted the opposition, spoilt and trashed votes seen all over the country due to the widespread chaos, Samia somehow still manages to get 31M votes?
Yup!

Na tume aliyoiunda ndo imesema hivyo.

Na supposedly, mwenyekiti wa hiyo tume ni “learned” brother.

Halafu yule Asha Migiro naye I can’t believe she agreed to be part of that clown show.

Under CCM this country has no future!
 
Well, labda sasa baadhi yenu mtaanza kunielewa nisemapo chaguzi zote chini ya haya mazingira ya sasa ni za kususiwa.

Mmeona sasa jinsi ambavyo tume ya uchaguzi iliyoundwa na mwenyekiti wa CCM na ambaye pia ni Rais na mgombea urais inavyofanya kazi.

Tena leo wameenda mbali zaidi na kumtangaza mgombea wao kuwa kashinda kwa kura milioni 31 ambayo ni sawa na asilimia 97.6 ya kura zote zilizopigwa.

Ni vituko na vichekesho mtupu.

Nionyesheni mistari ya hao watu milioni 31 waliokuwa wamesimama wakisubiri kumpigia kura huyo mtu 😂.

Kila mtu anajua Jumatano ilopita hakukuwa na uchaguzi.

Katika hali ya kawaida, tume ambayo ni huru, ingesitisha zoezi zima na uchaguzi ungerudiwa.

Kuna haja gani kuendelea kushiriki chaguzi ambazo kila mtu anajua nani atayangazwa mshindi?

Mmeona leo walivyofanya…..wamejitungia tu ushindi. Hata tone la aibu hawana.

Eti kapigiwa kura na watu milioni 31 😂.

These people are so detached from reality it’s not even funny!

Nani kati yenu humu ataendelea kushiriki hizi chaguzi ziendeshwazo na tume ya uchaguzi wa CCM?
Nauliza, hudhani kama wanaendelea KUMHUJUMU makusudi ikiwa vyombo vyote ya Ulinzi na Usalama hawakufuata amri yake ukiacha baadhi ya sehemu.

Kabla ya Uchaguzi Mkuu, kila mtu alijua Jeshi na Polisi wamejizatiti kumlinda kwa jinsi walivyokuwa wakifanya maandalizi. Lakini tunashuhudia tofauti kabisa tena kama wao ndio wanapaza moto!

Ili kuepuka yote haya nadhani ni busara kwa Samia KUJIUZULU mapema kabla ya maandamano haya kuanza safari ya kwenda Dodoma. Itakuwa mbaya zaidi
 
20251101_133435.jpg
 
Nauliza, hudhani kama wanaendelea KUMHUJUMU makusudi ikiwa vyombo vyote ya Ulinzi na Usalama hawakufiata amri yake ukiacha baadhi ya sehemu.

Kabla ya Uchaguzi Mkuu, kila mtu alijua Jeshi na Polisi wamejizatiti kumlinda kwa jinsi walivylkuwa wakifanga maandalizi. Lakini tunashuhudia tofauti kabisa tena kama wao ndio wanapaza moto!

Ili kuepuka yote haya nadhani ni busara kwa Samia KUJIUZU mapema kabla ya maandamano haya kuanza safari ya kwenda Dodoma. Itakuwa mbaya zaidi
Kama wanamhujumu basi itakuwa ni mkakati wa ajabu sana.
 
Ni vituko sanaa, mtu unabaki unajiuliza hivi akili za Hawa wanasiasa wetu ziko matakoni ama kichwani?? , mtu kama mboww, zitto kabwe, sijui wale kina kigaila walikua wanataka washiriki uchaguzi wa mazingira hayaa??is this election au sherehe za ccm kukamilisha mchakato wa kumkabidhi mwenyekiti wao uraisi..TAKATAKA KABISA

Ni upumbavu wa hali ya juu kushiriki kwenye mambo ya kipuuzi kama hayo.
 
01 November 2025

View: https://m.youtube.com/shorts/00HHWY71NJI

Waheshimiwa Viongozi na wageni waalikwa,

Leo tarehe 01 Novemba, 2025 kwa kuzingatia masharti ya Ibara ya 41(6) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya Mwaka 1977 ikisomwa pamoja na kifungu cha 45(9) na (10) cha Sheria ya Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani Na. 1 ya Mwaka 2024, Tume ilimtangaza mgombea aliyeshinda uchaguzi wa Kiti cha Rais kwa kupata idadi ya kura 31,913,866 sawa na asilimia 97.66 ya kura 32,678,844 halali zilizopigwa. Mgombea aliyetangazwa kuwa mshindi wa Kiti cha Rais ni Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na Dkt. Emmanuel John Nchimbi kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Leo tarehe 01 Novemba, 2025 tuko hapa ili Tume kwa kuzingatia masharti ya kanuni ya 57(5) ya Kanuni za Uchaguzi wa Rais, Wabunge na Madiwani za Mwaka 2025, iweze kumkabidhi hati ya kuchaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan na hati ya kuchaguliwa kuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Emmanuel John Nchimbi.

Baada ya kusema hayo na kwa niaba ya Tume nawaomba niwakabidhi hati hizo.

Mungu Ibariki Afrika,

Mungu Ibariki Tanzania

ASANTENI KWA KUNISIKILIZA
 
"According to the UN's World Population Prospects 2024, Tanzania's population aged 18 and above was approximately 36,013,009 people in mid-2025. This number represents a 3.43% increase from mid-2024, when it was around 34,818,477 people ."

So, if this is accurate, out of 36 M potential voters, the normal apathy, No Reforms No Election boycott, voters who voted the opposition, spoilt and trashed votes seen all over the country due to the widespread chaos, Samia somehow still manages to get 31M votes?
Never before (even in smooth elections) has Tanzania seen an 87% voter turnout! Saying this is ridiculous will be an understatement.
 
Back
Top Bottom