Nauliza, hudhani kama wanaendelea KUMHUJUMU makusudi ikiwa vyombo vyote ya Ulinzi na Usalama hawakufuata amri yake ukiacha baadhi ya sehemu.
Kabla ya Uchaguzi Mkuu, kila mtu alijua Jeshi na Polisi wamejizatiti kumlinda kwa jinsi walivyokuwa wakifanya maandalizi. Lakini tunashuhudia tofauti kabisa tena kama wao ndio wanapaza moto!
Ili kuepuka yote haya nadhani ni busara kwa Samia KUJIUZULU mapema kabla ya maandamano haya kuanza safari ya kwenda Dodoma. Itakuwa mbaya zaidi
Bahati mbaya, Mungu hakumpa huo uoni(sijui hasa jina lake, labda utambuzi)
Haoni kitu chochote nje ya anachofikiria yeye, ni kama kapigwa upofu,
Wanachoona wengine yeye haoni, wewe ukiona watu wanaulia, yeye haoni,
Ukiwaona rushwa imetamalaki, umyeye haoni,
Watu kupotea,yeye haoni, ndio hivyo tena mnatawalia na mtu ambaye sio binadamu, kama binadamu , basi ujue ni jini hilo , sio mtu huyo,
Wewe jiulize tu, huyo mtu kaolewa, lakini ni wangapi wameshamwona Mume wake, sio mtu huo, wala suala sio kwamba ni Mwanamke, hapana,