Khalifa saidi wa TheChanzo, huyu jamaa ni kichwa hasa

Khalifa saidi wa TheChanzo, huyu jamaa ni kichwa hasa

comrade_kipepe

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2019
Posts
8,748
Reaction score
18,096
Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.

Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.

RESPECT BRO 🫡
 
Attachments

  • thatboykhalifax2026_05_04_22_17_53f046338f-1d54-4962-999e-54e71bf1b7af.mp4
    47.7 MB
Tangu kwenye ile debate waliyofanya waandishi wa habari host akiwa Odemba.

Huyo jamaa alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja lakini pia ana matumizi sahihi ya ubongo wake.
 
Khalifa amepitia mengi sana mengine hawezi kusema.

Kuna articles huwa zinaandikwa na kuwa posted The Chanzo halafu watu wa mfumo wanamtishia aziondoe ama sivyo watamfanya kitu kibaya, lakini anasimamia uhuru wa waandishi wa habari.
 
Tangu kwenye ile debate waliyofanya waandishi wa habari host akiwa Odemba.

Huyo jamaa alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja lakini pia ana matumizi sahihi ya ubongo wake.
 
Attachments

  • thatboykhalifax2026_05_04_22_17_53f046338f-1d54-4962-999e-54e71bf1b7af.mp4
    47.7 MB
Hiyo video niliiona. Khalifa nimem-follow.

Mbali na hilo

Server za JF ni kisanga sana, tumesema lakini kila wakifanya maboresho wanasahau

Hapa kuna clip ya dakika 4 ina MB 50 nili capture kwenye live game ya City na Everton lakini mpaka sasa bado ina load tu
Hapo labda ishushe quality itapanda mb zipungue
 
Back
Top Bottom