comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Weka videoNaombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
Inagoma, ngojaWeka video
ThibitishaNaombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
Jamaa anatupanga tu😁😁Weka video
Jinga hili lizee la nyuzi za ngono😁😁😁Jamaa anatupanga tu😁😁
Mkuu, hiyo video wewe umeshaiona? Au ndo ID yake nyingine hii?Tangu kwenye ile debate waliyofanya waandishi wa habari host akiwa Odemba.
Huyo jamaa alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja lakini pia ana matumizi sahihi ya ubongo wake.
Khalifa amepitia mengi sana mengine hawezi kusema.Naombeni tuu msije mkamnyakua maana jamaa amekataa uchawa na ameacha akili yake ifikiri kwa kina bila uoga na bila kujali mkono wa chuma.
Alichokiongea kwenye hii video kina make sense sana, na sio mara ya kwanza huyu jamaa kutema madini bila uoga aisee.
RESPECT BRO 🫡
Jamaa kanyooka sanaKhalifa amepitia mengi sana mengine hawezi kuzema.
Kuna articles huwa zinaandikwa na kuwa posted The Chanzo halafu watu wa mfumo wanamtishia aziondoe ama sivyo watamfanya kitu kibaya, lakini anasimamia uhuru wa waandishi wa habari.
Kijani wakiona mtu wa aina hii wanajua ni chadema, mambo yamebadilikaJamaa anachofanya ni rare sana hasa kwenye mazingira yetu ya Media kwa sasa.
Tangu kwenye ile debate waliyofanya waandishi wa habari host akiwa Odemba.
Huyo jamaa alionyesha uwezo mkubwa sana wa kujenga hoja lakini pia ana matumizi sahihi ya ubongo wake.
Hiyo video niliiona. Khalifa nimem-follow.IMEBIDI NIEDIT NIWEKE LOW QUALITY NDIO IMEPANDA
Hapo labda ishushe quality itapanda mb zipungueHiyo video niliiona. Khalifa nimem-follow.
Mbali na hilo
Server za JF ni kisanga sana, tumesema lakini kila wakifanya maboresho wanasahau
Hapa kuna clip ya dakika 4 ina MB 50 nili capture kwenye live game ya City na Everton lakini mpaka sasa bado ina load tu