Khaligraph Jones (OG) the best hiphop artist in Africa

Watu wengi wanaweza andika, ishu kwenye uwasilishaji, na hapo ndio OG alipowapiga gape wasanii wengi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wengi wanaweza andika, ishu kwenye uwasilishaji, na hapo ndio OG alipowapiga gape wasanii wengi.


Sent using Jamii Forums mobile app
Yah nakubali. ila blaq nae sio kwamba hawasilishi vizuri ila OG ni zaidi. but kwenye hizi diss tracks OG linambeba jina tu coz blaq hafahamiki ila barz za blaq ni moto
 

Attachments

acha uongo blaqbones kazidiwa punchline
Uzuri lyrics zimetoka. we dondosha puchlines zako za Khaligraph, mi nadondosha za Blaq bonez.

"Yo kenya this the nigga that you rated as best
Like if y'all were attacked he gon come to your help?
If there’s one thing that anybody’s learned from Manchester
United it that literally nobody’s scared of JONES in defense"
 
kaligraph jones kapigwa asee "kenya r kelly"
 
SOMK, Jones:

I spotted you in Lagos
You were seen bragging
In an uber cab
And I was cruising in a G-wagon
And I couldn't help but pity you
I'd leave it in the past
But it's unfortunate
Your own people treating you like trash (hahaha)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hahahaaaa n noma sana
Nasikia jamaa kajibu tena..?
 
hahahaaaa hv hapo kichwa kipi hapa kibongobongo kinaweza kuckucompit na hawa jamaa..?
 

True,jamaa wa ukweli sana!

Not to be confused na “Khaligraph Jordan” wa JF!
 
Bonez:

No-one should ever put a knife in the hands of a mad genuis
Ama Keep drawing lines on Khaligraph till the graph’s finished
With X and as a function of Y Khaligraph’s bleeding
Have khaligraph’s blood on the wall like a graffiti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…