chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
nmesikiliza tena blaq bones yuko vizur sana kwenye barz
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watu wengi wanaweza andika, ishu kwenye uwasilishaji, na hapo ndio OG alipowapiga gape wasanii wengi.Umesikiliza lakini reply ya Blaqbonez? Nimeanza kumfaham blaqbonez kwenye zile MARTEL CYPHER zinazoongozwa na MI ABAGA, Blaqbonez kiukweli anaandika sana. Na hata ukicheki reply yake kwa bars kamkalisha Jones, ila Jones anajua kuwasilisha vizuri mistari yake
Nimesikiliza Diss zote.nmesikiliza tena blaq bones yuko vizur sana kwenye barz
Yah nakubali. ila blaq nae sio kwamba hawasilishi vizuri ila OG ni zaidi. but kwenye hizi diss tracks OG linambeba jina tu coz blaq hafahamiki ila barz za blaq ni motoWatu wengi wanaweza andika, ishu kwenye uwasilishaji, na hapo ndio OG alipowapiga gape wasanii wengi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uzuri lyrics zimetoka. we dondosha puchlines zako za Khaligraph, mi nadondosha za Blaq bonez.acha uongo blaqbones kazidiwa punchline
Yah OG namkubali mzee. Anajua sana. ila kwa hizi diss track mbili zilizotoka kwa mtazamo wangu kwa bars kakalishwa. Na diss tracks sana zinaangaliwa barz, umemchanaje mwenzio.mmmmh ila khaligraph ni mnoma kuanzia flow zake hadi mistari
kaligraph jones kapigwa asee "kenya r kelly"Uzuri lyrics zimetoka. we dondosha puchlines zako za Khaligraph, mi nadondosha za Blaq bonez.
"Yo kenya this the nigga that you rated as best
Like if y'all were attacked he gon come to your help?
If there’s one thing that anybody’s learned from Manchester
United it that literally nobody’s scared of JONES in defense"
hahahaaakaligraph jones kapigwa asee "kenya r kelly"
akina nan..?
hahahaaaa n noma sanaJones:
I spotted you in Lagos
You were seen bragging
In an uber cab
And I was cruising in a G-wagon
And I couldn't help but pity you
I'd leave it in the past
But it's unfortunate
Your own people treating you like trash (hahaha)
Sent using Jamii Forums mobile app
hahahaaa watakuwa politicians wa kenya or
hahahaaaa hv hapo kichwa kipi hapa kibongobongo kinaweza kuckucompit na hawa jamaa..?Uzuri lyrics zimetoka. we dondosha puchlines zako za Khaligraph, mi nadondosha za Blaq bonez.
"Yo kenya this the nigga that you rated as best
Like if y'all were attacked he gon come to your help?
If there’s one thing that anybody’s learned from Manchester
United it that literally nobody’s scared of JONES in defense"
Naona jamaa hataki utani amemuwashia kweli moto mwanamuziki wa hiphop kutoka Nigeria Blackbone. Na ninachoona mpaka sasa mchezo keshautawala yeye
#Respect OGs, wanigeria lazima waelewe tu wanajiona wao ndo kila kitu now wamepatikana.
View attachment 1324727
Bonez:Jones:
I spotted you in Lagos
You were seen bragging
In an uber cab
And I was cruising in a G-wagon
And I couldn't help but pity you
I'd leave it in the past
But it's unfortunate
Your own people treating you like trash (hahaha)
Sent using Jamii Forums mobile app