Yes wote wanaflow fast, but nadhani huyu Khaligraph ana ngoma nyingi akiwa kama underground, sahivi ndio ameanza kueleweka kama mainstream artistKhaligraph mfnanishe na Orbit wa mkaveli ndo level zake
Chuyu chalii ni noma na accent ya alegoMicasa sucasa, best song, best flow from kaligraph Jones, huyu jamaa kama akiwa serious hata akina Casper nyovest, sarkode wanasubiri. Hapa nilipo nasikiliza rmx ya one time Rosa Lee ft kaligraph Jones, bonge la nyimbo.
Yeah na ni mkali kuzidi Orbit kidogo.. They got same style n same flows ila Khali kaongeza userious kuzidi Orbit kila mara anachia nyundo.. Ila kufika kwa Ngwair itabaki kua kazi ya ziadaYes wote wanaflow fast, but nadhani huyu Khaligraph ana ngoma nyingi akiwa kama underground, sahivi ndio ameanza kueleweka kama mainstream artist
Nasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....Ooy Khaligraph bado Mchanga Sana yaan umekosea Sana kumfananisha na Albert Mangwea. Muziki wa Kenya ni wa Msimu tuu. Huwezi Sema Eti Hip-hop bongo imeshuka wakati kila kukicha wanazaliwa Rappers wapya tena wenye vipaji haswaaaa. Labda Kalighraph ungemlinganisha na ChinBeez [emoji35]
Ni mkali yeah ila si kwa level ya Ngwair. Nlianza kumfatilia alipopiga collabo na Nikki mbishi [HASHTAG]#baba[/HASHTAG] yao.Nasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....
Huyu MTU anapiga freestyle kama kameza hiyo freestyle yenyewe.... Kamuulize Rick Rozeee alivyodondoka nairobee alimuongeleaje huyu jamaa...
Utakuwa umemjua kaligraph kuanzia wimbo alioshirikishwa na Christian Bella Obama
Tafuta wimbo wa Up in the air remix Roza Ree Ft Kaligraph Jones ndio utamjua huyu MTU yupoje
Sasa hivi ni mwendo Mask Off ... Toa Tint hahahahaha
I'm Tanzanian Brodah don't get twisted
Micasa sucasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari yuko na bibi ake ile ngoma ni hatari sana jamaa anaflow hatari sana metaforce na skill juu ya mdundo + mazishiMicasa sucasa, best song, best flow from kaligraph Jones, huyu jamaa kama akiwa serious hata akina Casper nyovest, sarkode wanasubiri. Hapa nilipo nasikiliza rmx ya one time Rosa Lee ft kaligraph Jones, bonge la nyimbo.
Khaligraph namfahu Sana Mkuu. Nadhani Wewe ni kizazi kipya na kinachoonekana hapa ni Mapenzi yako juu ya Khali ila Ukweli utabaki pale pale siku zote. Albert Mangwea ni Level za juu Kabisa. Yawezekana hujawahi kumsikia hata Chid Benzi enzi akiwa na Nguvu zake, sasa huyo Khaligraph kwa Chid Bado mtoto. Mangwea atabakia Mangwea milele. REST IN PEACE MANGWEANasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....
Huyu MTU anapiga freestyle kama kameza hiyo freestyle yenyewe.... Kamuulize Rick Rozeee alivyodondoka nairobee alimuongeleaje huyu jamaa...
Utakuwa umemjua kaligraph kuanzia wimbo alioshirikishwa na Christian Bella Obama
Tafuta wimbo wa Up in the air remix Roza Ree Ft Kaligraph Jones ndio utamjua huyu MTU yupoje
Sasa hivi ni mwendo Mask Off ... Toa Tint hahahahaha
I'm Tanzanian Brodah don't get twisted
Boooooooom Mwambie. Kijana ana mapenzi juu ya Huyu rapper wa msimuHuyo mpaka mikorogo unamfananisha na Ngwea!?!?