Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Micasa sucasa, best song, best flow from kaligraph Jones, huyu jamaa kama akiwa serious hata akina Casper nyovest, sarkode wanasubiri. Hapa nilipo nasikiliza rmx ya one time Rosa Lee ft kaligraph Jones, bonge la nyimbo.
Chuyu chalii ni noma na accent ya alego
 
Yes wote wanaflow fast, but nadhani huyu Khaligraph ana ngoma nyingi akiwa kama underground, sahivi ndio ameanza kueleweka kama mainstream artist
Yeah na ni mkali kuzidi Orbit kidogo.. They got same style n same flows ila Khali kaongeza userious kuzidi Orbit kila mara anachia nyundo.. Ila kufika kwa Ngwair itabaki kua kazi ya ziada
 
Ooy Khaligraph bado Mchanga Sana yaan umekosea Sana kumfananisha na Albert Mangwea. Muziki wa Kenya ni wa Msimu tuu. Huwezi Sema Eti Hip-hop bongo imeshuka wakati kila kukicha wanazaliwa Rappers wapya tena wenye vipaji haswaaaa. Labda Kalighraph ungemlinganisha na ChinBeez [emoji35]
Nasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....

Huyu MTU anapiga freestyle kama kameza hiyo freestyle yenyewe.... Kamuulize Rick Rozeee alivyodondoka nairobee alimuongeleaje huyu jamaa...

Utakuwa umemjua kaligraph kuanzia wimbo alioshirikishwa na Christian Bella Obama

Tafuta wimbo wa Up in the air remix Roza Ree Ft Kaligraph Jones ndio utamjua huyu MTU yupoje

Sasa hivi ni mwendo Mask Off ... Toa Tint hahahahaha

I'm Tanzanian Brodah don't get twisted
 
Take it man...you sent a kid to the men's battlefield...wacha watu wachambue sasa.....
 
Nasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....

Huyu MTU anapiga freestyle kama kameza hiyo freestyle yenyewe.... Kamuulize Rick Rozeee alivyodondoka nairobee alimuongeleaje huyu jamaa...

Utakuwa umemjua kaligraph kuanzia wimbo alioshirikishwa na Christian Bella Obama

Tafuta wimbo wa Up in the air remix Roza Ree Ft Kaligraph Jones ndio utamjua huyu MTU yupoje

Sasa hivi ni mwendo Mask Off ... Toa Tint hahahahaha

I'm Tanzanian Brodah don't get twisted
Ni mkali yeah ila si kwa level ya Ngwair. Nlianza kumfatilia alipopiga collabo na Nikki mbishi [HASHTAG]#baba[/HASHTAG] yao.
The dude is good tho
 
me naona ni kama ulikuwa unataka kutufikishia ujumbe kuwa khaligraph kaimba wimbo kutumia beat ya future.
 
Baba yao. Nimeanza kumfuatilia baba yao akiwa cool gang na wakina oxido. Toka aimbe mazishi ameniacha na nimeamua kutokumfuatilia ila ni rapper mzuri.

Binafsi sijawahi kumwelewa mangwea huwa natamani saana ningemwelewa maana watu wengi nikikaa nao kuongelea legends wanamtaja.
 
Micasa sucasa, best song, best flow from kaligraph Jones, huyu jamaa kama akiwa serious hata akina Casper nyovest, sarkode wanasubiri. Hapa nilipo nasikiliza rmx ya one time Rosa Lee ft kaligraph Jones, bonge la nyimbo.
Micasa sucasa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] hatari yuko na bibi ake ile ngoma ni hatari sana jamaa anaflow hatari sana metaforce na skill juu ya mdundo + mazishi
 
Nasikitika humjui kaligraph Jones A.k.a Pap Jones....

Huyu MTU anapiga freestyle kama kameza hiyo freestyle yenyewe.... Kamuulize Rick Rozeee alivyodondoka nairobee alimuongeleaje huyu jamaa...

Utakuwa umemjua kaligraph kuanzia wimbo alioshirikishwa na Christian Bella Obama

Tafuta wimbo wa Up in the air remix Roza Ree Ft Kaligraph Jones ndio utamjua huyu MTU yupoje

Sasa hivi ni mwendo Mask Off ... Toa Tint hahahahaha

I'm Tanzanian Brodah don't get twisted
Khaligraph namfahu Sana Mkuu. Nadhani Wewe ni kizazi kipya na kinachoonekana hapa ni Mapenzi yako juu ya Khali ila Ukweli utabaki pale pale siku zote. Albert Mangwea ni Level za juu Kabisa. Yawezekana hujawahi kumsikia hata Chid Benzi enzi akiwa na Nguvu zake, sasa huyo Khaligraph kwa Chid Bado mtoto. Mangwea atabakia Mangwea milele. REST IN PEACE MANGWEA
 
Unafiki pembeni, zaidi ya freestyle ambapo ndio hakuwa na mpinzani, kwenye rap Ngwair anasubiri kwa watu wengi tu Bongo. Na Khaligraph bado hajafika level za Ngwair.
 
Back
Top Bottom