James Comey
JF-Expert Member
- May 14, 2017
- 8,759
- 14,831
Yah free style ilimbeba sana Ngwea however ni mkali pia.Unafiki pembeni, zaidi ya freestyle ambapo ndio hakuwa na mpinzani, kwenye rap Ngwair anasubiri kwa watu wengi tu Bongo. Na Khaligraph bado hajafika level za Ngwair.
Yah free style ilimbeba sana Ngwea however ni mkali pia.
Lakini Ngwea asifananishwe na S.Bleachers... Nikitizama ktk list yangu kuna wakali wengi sema kwa sasa mziki upo ktk mikono ya kikundi cha watu fulani wakiamua uwe star unakuwa hata kesho yake.
D.Coper ulishawai kumfikiria one the Incredible mkuu siku atakapo msujudia kaisari wa mziki wa bongo atakuwaje ?
Yah tunaiitaga midondoko.One hajawahi kuni-impress. Anachana ndio, lakini hakuna cha maana anachosema. Design ya Big L hivi.
Wewe ni mkenya!?Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi
Curently katika hiphop ya kenya kuna rapper anaitwa khaligraph jones..naona anikimbiza industry ya hiphop kenya..then taratibu ana pentrate kwnye soko la bongo...ngoma kama mazishi..mask off(toa tint) ni baadhi ya track zinazo mfanya awe ameshika soko la kenya...nafkiri huyu chalii kibongo bongo angeweza pambana na NGWAIR peke ake..hiphop ya bongo imeshuka flan ivi..ushindani umeshuka balaa...nafkiri wasanii wakibongo they have alot kujifunza kwa huyu mchzi
nakubaliana na wewe asilimia zote.Kaligraph ni moto... Tena wa kuotea mbali. Wengi hapa hamjamjua vizuri. Mfuatilieni U tube.
Ngwair hakuwahi fika level hizi.
jamaa is so full of himself ndo maana anazingua, amezidi ujuaji.Nikki mbishi anzingua siku hizi. Hes no longer serious..dada pumzisha mwili wako...ngoma ngona sasa hiyo. Tena official release..huyu cgakii sijui nn kimempata
Unamjua papa jones vizuri kweli mkuu?Ooy Khaligraph bado Mchanga Sana yaan umekosea Sana kumfananisha na Albert Mangwea. Muziki wa Kenya ni wa Msimu tuu. Huwezi Sema Eti Hip-hop bongo imeshuka wakati kila kukicha wanazaliwa Rappers wapya tena wenye vipaji haswaaaa. Labda Kalighraph ungemlinganisha na ChinBeez [emoji35]
kiukweli inabidi mleta siridi amtake radhi al marhum ALBERT KENETH MANGWEHA huko alikoNi kumkosea heshima legend ngwair