Khaligraph jones vs albert mangea(ngwair)

Yaah Kali ndio kampoteza Octopizo kenya ...

Kaligraph Master Wa Content Na Style .... Yaani anachorap kina make sense ( Content ) na Ana miundo tofauti tofauti za kughani mashairi (Rap Style )... Kitu ambacho wasanii wengi si tanzania tu hata huko America hawana ...

Unaweza kukuta mtu ana style nyingi na Ni fundi wa kuswitch flow ila anachorap ni ujinga (Content )... Na unaweza kukuta ana content nzuri ila hana style nzuri na uwezo wa kuswitch ni mdogo ...


Kali anatendea kazi mahitaji ya kizazi Cha Sasa...watu wanahitaji flow Kali, kuswich flow na content flani hivi nzuri ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana aende na soko linavyotakiwa kwenda...hivi uliona ile ngoma ya stereo na mavoko?? Mfano angeendeleza kama zile back to back nyimbo tano lazima ungemkuta kwenye category g
Flani huko kwenye tuzo zao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Mazee mziki unawatu wake ukiona wewe hauuelewi ujue hiyo sio interest yako usilazimishe watu wote waendeshwe na itikadi zako

kuna watu tuko tayari kununua album ya hip hop ngumu kwa sh 15000 lakini hatuko tayari kupakua wimbo wa baba lao wenye MB 3.5 ambao ni chini ya shl 100



It's Scars
 
Slim sal ni konyoooooooo.....achen ujinga a.k.aligraph arudi chekechea
 
Mkuuuuuuuuuuuuuuu,

Tafadhali sana,

Usimfananishe Albert Mangweha(R.I.P) na vitu vya kijinga,huyo jamaa hakuwa kawaida,alikuwa ni genious,hakuna wa kufanana naye hata kwa hawa wote wanamuziki wa EA wa sasa.
 
Slim sal ni konyoooooooo.....achen ujinga a.k.aligraph arudi chekechea
Uzuri nimemjua Kali kitambo Sana kipindi hicho Yuko Hardcore rapper na Octopizo ndio anaonekana Swag Rapper , ila haya yote anayopewa sifa Kaligraph leo Slim Sal alikuwa anayafanya tangu enzi hizo ... Yaani hizi Swags za kaligraph leo Kuna mtanzania amekuwa anazifanya Since way Back .... Na hata ukimsikia leo Jamaa Ni shida saaaana.



Sema watanzania huwa hatukubali vitu vyetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kaligraph ni rapa bora ila kwa tamaduni music pale lazima aonekane underdog

Ila kwenye hip hop ngumu neno "swag" halina mashiko labda kama unazungumzia hip hop kwa minajili ya trap au hip hop bongofleva kama weusi

Sikufichi kaligraph kwa dizasta hatembei hata kwa dawa, yule dogo ni janga kama jina lake yani hafai kama ukoma



It's Scars
 
Mkuu naomba umsikilize NCHAMA THE BEST.. ndo utajua c kila mtu anarudia mistari... bongo tuna rappers wakali ila tatzo promo....nkimlinganisha khaligraph na incredible namuona incredible.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona hta country boy hua anabadilisha flow dizain ya khaligraph,??...
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndio maana nikasema hao wanaolalamika wasiendelee kulalamika kila mtu afanye kinachompendeza,mimi binafsi napenda sana hip hop ya ukweli na nishabiki namba moja wa maalim nash
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamsikiliza songa??
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushamsikiliza songa??

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu Naijua hip hop ya Bongo nje ndani ... Hao wasanii wote wa Tamaduni Music hakuna nisie mjua album zote na EP zake ninazo ... Mwaka majuzi alipata prize kutoka Muziki Entertainment kwa nyimbo zako kuwa most downloaded kule Kenya ... Anavyoghani wakenya huwa wanadhani ni mkenya...

By the way ninamkubali kwa sababu ya metaphors zake + lugha picha na ni muandishi mzuri Sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…