Nimemfaham kaligraph johnes kitambo Sana kuanzia enzi hizo ana Bifu zitto na Octopizo.. Kali alikuwa pure underground akifanya Sana Freestyle Battle ...
Kipindi hicho Bongo tayari kulikuwa Kuna mnyama anaitwa SLIM SAL kutokea Dom , huyu mtu anafany Kama anavyofanya Klaigraph Jones kwa kila Kitu .... So kaligraph siamini Kama anazidi rapers wote wa Bongo labda useme walio kwenye mainstream ila kuna watu ni hatari Sana ....
Mimi ukiniambia ni rapper gani ni Bora kwa bongo (Kwa swagz) namuweka SLIM SAL , nakuomba utafute nyimbo zake halafu uje na mrejesho ... Kwasasa Yuko Tongwe Records anapika Madude ya Maana ... Kila Trap inayotoka Tongwe ni mkono wake....
Muda mwingine kuvuma huwa inaenda Kama upepo miaka flani Sarkodie alikuwa Juu Sana ila kwasasa Kama kashuka japo Nina amini africa haijawahi kuwa na kichwa Cha freestyle Kama kile ... Msanii pekee kutokea Africa kuwa featured kwenye BET cypher ....
Sent using
Jamii Forums mobile app