Khan Younis imesawazishwa kwa kombola lenie nguvu kubwa

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Baada ya magaidi wa Hamas kuonekana wakijikusanya kwa wingi katika jengo moja huko Khan younis majeshi ya Israel yaliamua kulishambulia kwa bomu jengo hilo na kuangamiza kila kitu ki licho kuweto ndani na nje ya jengo hilo.
Magaidi wa Hamas wamepata pigo kubwa sana baada ya watu wao wengi kufia kwenye jengo hilo.
 

Attachments

  • WhatsApp Video 2025-05-11 at 15.50.03.mp4
    13.3 MB
Netanyahu hacheki, atamaliza hawa watu.
 
Trust me we jamaa ni mjinga sana. Kama unabisha bisha tu

Huwezi kuwa unashabikia mauaji kiasi hiki asee. Yaani we bando zako zote ni ku search tu Israel kafanya nini
Ndugu mimi si mjinga kama unavyofikiria!!! Mimi sishabikii mauaji mimi naripoti yaliyotokea huko Knan Younis kumbe kwako wewe ku report ni kushabikia?
Hivi wewe bundle langu linakuhusu nini? Na kwa nini unipangie cha kuposti? Basi wewe utakuwa mjinga kuliko mimi!!
 
Kwa hio Hamas kwisha habari yake sio basi vita imeisha au kenge atatuletea ujinga mwingine kama hu siku za mbele.

Mimi naona Israel hajui vita Gaza 50 S KM na mpaa leo hajashinda ni aibu sana we ona Pakistan kamtandika India mpaa kainua mikono juu haijafika hata week.
 
Subhana wataalah hapo haponi hata sisimizi
 
Endelea kujidanganya kwa jina la TAQIYYAH
 
Usikatishwe tamaa kiongozi! Habari njema sana hizi unatuhabarisha magaidi wanavyoshughulikiwa! Piga kazi njema sana hii.
 
Wazoe wabongo. Uki report wewe ni nongwa sababu hbr hajaipenda. Lakini nmemshangaa anaumia jinsi unavyotumia bundle lako. 🤣
 
Unawaita magaidi kwani wamekuulia mkeo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…