Khan Younis imesawazishwa kwa kombola lenie nguvu kubwa

Israel has the right to defend itself against the terrorists and it's being backed by the civilized world.
 


Hilo bomu acha kabisa, you can feel hadi speaker ya simu inatikisika
 
Usijali huyo ni kobaz, hao ndivyo walivyo, ukiwapa habari za Israel kumkanda Hamas watakutuhumu unashabikia mauaji ya akina mama na watoto, ila ukileta habari za Hamas au houthi kushambulia Israel watakuona ni shujaa na watashangilia sana hata kama hiyo habari ni ya uongo.
 
Noma Sana. Myahudi hacheki na kima
 
Kambi ya Airforce ya Pakistan after kunanjuliwa na Govinda

Satellite image shows damage to Pak's Nur Khan air base in Indian strike

Nur Khan air base is home to Pakistan's main transport squadrons and is used for logistical and strategic airlift operations.

Alafu Satelite ya mchina ndio imepiga picha
 
Unakataa wasiitwe magaidi kutokana na vitendo vyao vya kuua,kuteka watu na kuwafanya Wanawake na watoto kuwa Kinga( Human-Shield ) kwani ni waume żako?
Wee bwabwa utaolewa na mayahudi halafu wanavopenda nyuma watakuja kukutoa utumbo
 
Yaani, India iombe tutorial na training kutoka Israel namna ya kudeal na Magaidi
 
Kosa lake nini?
Kosa lake ni ujuaji, watu wanapigania nchi yao, wanapigana dhidi ya udhalimu wa mayahudi, wanapigana dhidi ya mauaji ya kimbari, yeye anawaita magaidi. Mayahudi ni makatili kupindukia, they are killing just for fun, they have been terrorizing Palestinians for decades, they are killing innocent women and children in their homes, they are killing journalists, they are killing health workers, they are killing aid workers, they are bombing mosque, hospitals, church., they are committing genocide, that's why Netanyahu is a wanted criminal with arrest warrant
 
Kosa lake ni ujuaji, watu wanapigania nchi yao, wanapigana dhidi ya udhalimu wa mayahudi, wanapigana dhidi ya mauaji ya kimbari,
Kwa maana hiyo unataka mimi niwe Mbumbumbu nisijue kitu kuhusu unyama wanaoufanya magaidi wa Hamas huko Israel?
Magaidi hao wanapigania nchi gani? Maana haijawahi kutokea nchi inayoitwa Palestina!!
Je unajua maana ya mauaji ya kimbari? Maana huko Israel hakuna mauaji ya kimbari Israel tu kuna waarabu kuna zaidi ya waarabu million mbili pia kuna waarabu wengi wako Jeshini wanaitumikia nchi ya Israel na kuna wengine wanafanya kazi kwenye tańsi si mbalimbali za kiraia na wengi wanashikilia nyadhifa mbalimbali nchini Israel kwa hiyo mauaji ya kimbari ni uongo au wewe hujui maana ya mauaji ya Kimbari.
yeye anawaita magaidi.
Ni Magaidi kutokana na vitendo vyao vya Kuua,Kuteka na kuwafanya Wanawake na watoto kuwa kinga( Human-Shield) . Watu wanaofanya vituko hivyo ni Magaidi upende usipende!!
Mayahudi ni makatili kupindukia,
Vitendo walivyofanya Magaidi Oct 07,2023 kwa kuua watu wasio na hatia 1,200 kwa siku moja huo sio ukatili? Au kwa sababu ulifanywa na waarabu?
Tumia akili zako vizuri acha mihemko ya kijinga na kipumbavu kudaganywa na Propaganda za kijinga!!!
Angalia hapo chini ukatili wa Hamas walioufanya kwa raia wasio na hatia!!
 

Attachments

  • IMG_2812.jpeg
    93.8 KB · Views: 19
Hizi habari hazitishi anymore,hakuna kitu israeli watafanya kitawafanikishia jambo kwenye hii vita,wanammalizia silaha USA tu mwishowe aishiwe wawe ama wao wamcheke
 
Jeshi la Israel liliiomba lisisitishwe tena eti wanaweka maridhiano. Hawataki kuanza upya kama kipindi kile kwa iyo wanasonga mbele mpaka wamalize kibarua
 
Trust me we jamaa ni mjinga sana. Kama unabisha bisha tu

Huwezi kuwa unashabikia mauaji kiasi hiki asee. Yaani we bando zako zote ni ku search tu Israel kafanya nini
Anaishi huko huyu, the way anavyo report sio kama mnunua habari, nyingi anazijua.
Ingawaje magaidi nao wana boa sana, sometimes dawa ya jeuri kiburi, ndicho wanacho fanyiana na Wayahudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…