Khantwe upo wapi?

Khantwe upo wapi?

Nakudediketia wimbo wa Christian Bella usindikize huu uzi.....

"Uko wapi mpenzi wangu nakuhitajii..."
 
Nakudediketia wimbo wa Christian Bella usindikize huu uzi.....

"Uko wapi mpenzi wangu nakuhitajii..."

wewe nawe umetokea wapi....

hivi unaukumbuka ule wa Sijui Q chief...

samahani dada weweee mi naomba nikuagizeee .

niwekee.
 
wewe nawe umetokea wapi....

hivi unaukumbuka ule wa Sijui Q chief...

samahani dada weweee mi naomba nikuagizeee .

niwekee.

Huo siujui ila nimeona kuna wanaosema bi dada ni jiko la mtu au ameshachukuliwa....

Waambie hivii as Q Chilla says...

Back
Top Bottom